Kwa Verse hii ya Mondi, Rayvanny mfuate Mavoko!

Si kwa mtiririko huu wa majibu kwa mtoa mada😛
 
Mimi kusikiliza nyimbo anazosikiliza dada yangu kwangu ni najisi
 
Acheni ujinga! Huyo ni sanaa bhana na hiyo tafsiri yako wewe. Mijitu imejaa udini.
 
basi maneno haya angetoa Mo' Said wangesema udini mi nadhani mtoa post ana matatizo ya akili si bure taahir hyu
 
watu wote wenye dini ni wadini huwa tunaji control kwa ajili ya mahusiano mema kijamii lkn ukweli ni kwamba muislam na mkristo kiimani ni maji na mafuta uamini usiamini
Huu ni ukweli watu wanaoujua ila wanaona aibu kuutaja kwa sauti.

Ni sawa na swala la ukabila, ubaguzi wa rangi, ni nature.
 
Huu ni ukweli watu wanaoujua ila wanaona aibu kuutaja kwa sauti.

Ni sawa na swala la ukabila, ubaguzi wa rangi, ni nature.
huu ndio ukweli, kila mtu anaamini kuwa anachokiamini ni sahihi kuliko mwingine.
pia suala la ubaguzi ni nature, mfano mzuri ni Trump, tabia na ubaguzi wake unaashiria wazi jinsi wazungu wanavyotuona, tatizo letu tunapenda kuongopewa hasa na wale wasioonyesha chuki zao hadharani japo moyoni watuchukia
 
Hata Diamond mwenyewe.... Imani yake imebaki kwenye jina tuu... Matendo yake mengi hayaakisi Uislam wa kweli... Matendo yake yanajinasibu na 'Ukhafir'
 
Hata Diamond mwenyewe.... Imani yake imebaki kwenye jina tuu... Matendo yake mengi hayaakisi Uislam wa kweli... Matendo yake yanajinasibu na 'Ukhafir'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…