Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Video ina mawazo finyu sana. Hivi, african beauty ni matiti na makalio ya wasichana tu?
Vipi mandhari za kuvutia kama ngorongoro, mlima kilimanjaro, maporomoko ya mto limpopo huko zimbabwe nk sio african beauty hiyo?
yeye kalenga kumsifia mwanamke mrembo wa kiafrika..imba yako ya kusifia vivutio vya kiafrika kama hiyo misitu,milima,bahari na mbuga...
 
Sasa hapo Diamond alikuwa ana lenga nn?
Mkifungiwa msianze kulalamika na hata wasipo fungia waso mpenda watasema wimbo hauna maadili hatupigi
Niliona comments zako kuhusu wastara na diamond na hapa nimekukuta ndio ndio nimejua akili yako ,pole Sana , dunia sio Tz tu na ukiwaza HK wenzio wanawaza vile
 
Harafu hizo nyimbo za kiba zina views wangapi na kwa muda gani ukilinhanisha na hizo ulizotaja?
 
VP unataka na ww tukupe list ya nyimbo ambazo haxina maadili na zinafanya vizuri Sana zaidi ya hizo ulizitaja ,matumizzi mazuri ya akili ni kuangalia na A na B ya unachowaza
 
Video ina mawazo finyu sana. Hivi, african beauty ni matiti na makalio ya wasichana tu?
Vipi mandhari za kuvutia kama ngorongoro, mlima kilimanjaro, maporomoko ya mto limpopo huko zimbabwe nk sio african beauty hiyo?
Si utoe wimbo wako uonyesha hayo ulioyataja ili na ww ufanikiee zaidi
 
VP unataka na ww tukupe list ya nyimbo ambazo haxina maadili na zinafanya vizuri Sana zaidi ya hizo ulizitaja ,matumizzi mazuri ya akili ni kuangalia na A na B ya unachowaza
sikuwa nahitaji kuendelea nahuu mjadala wenu CU's huwa na amini average mind huwa wanapnda kukaa na kudiscus watu muda wote ....sijui uliiona hii content yangu kwa mtazamo upi ...lakini wakati na itoa hapa nilikuwa na jua kuwa kuna nyimbo ambazo huwa ziko naked mono nazinafnya vizuri ...ila niliitoa ile statement kumjibu mtu aliyesema kuwa Jamaa ametoa nyimbo yenye maudhui ya video hiyo yenye muonekano huo kwaajili ya kutagert soko la nje ''"" nasio soko La ndani ""
na ndio mimi nika improve wrong kuwa sio kweli .."" huyo atakuwa na interest zake mwenyewe ...maana kama kutoa video za hivyo ndio huwa zinatolewa ili Ku target soko mbona kuna watu wanatoa video zisizo kuwa na hayo maudhui na bado wanaliteka soko """ ...sijui umenilewa lkini """?
 
Video ina mawazo finyu sana. Hivi, african beauty ni matiti na makalio ya wasichana tu?
Vipi mandhari za kuvutia kama ngorongoro, mlima kilimanjaro, maporomoko ya mto limpopo huko zimbabwe nk sio african beauty hiyo?
Hiyo itakua nzuri sana mkuu...
Nakushauri ufanye video ya wimbo wa aina hiyo kumuonesha mfano huyu kijana kwamba inawezekana..!
 
King mswat huwa anafanye vilee...
 
Ni kweli video haina maadili kabisa, hauwezi ukakaa na familia yako mukaitazama.
 
Ni kweli video haina maadili kabisa, hauwezi ukakaa na familia yako mukaitazama.
Alishasema ye ni kiwanda cha kuzalisha habari unaona anavyotrend Africa now? Halaf katoa clean version kazi kwenu
 
Sikio la kufa halina dawa,anaweza kujihisi anapanda chati kwa haraka lakini hajui kuwa anguko lake litakuwa nalo la haraka vilevile..
Tangu 2010 mnasemaha hiv hivi,leo lini kumbe? Still anajadiliwa tu na ndo kwanza FiFA wameona umuhimu wke,kalagha bao.
 
Hii ngoma kubwa sana asee duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…