Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mchawiAnajiharibia local fanbase na bado ataendelea kulalamika ooo media za bongo hazipigi nyimbo za wasafi,Mbona nyimbo ya SIKOMI haina mbwembwe nyingi lakini hata views inazozaidi ya mil 11 alafu collabo na rickross hata mil 6 haijafika. jiongeze kaka unajiharibia mashabiki utaona kiba nyimbo atakayotoa haitakuwa na mbwembwe nying za wadada wakaa uchi na itapata air time kweny media,Alafu kweny hiyo nyimbo mpya kaharibu content kweny upande wa culture kwani masuala ya uchi sio ubeauty wa mdada wa kiafrika kama inavyotambulika,hayo mambo mwachie Jason na treysongz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yeye kalenga kumsifia mwanamke mrembo wa kiafrika..imba yako ya kusifia vivutio vya kiafrika kama hiyo misitu,milima,bahari na mbuga...
PW mwangaVp mchawi
Zpo version mbili labda ww ulichagua dirty ila clean ipoNimeusikiliza kwa umakini wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Omarion, ukweli ni wimbo mzuri sana melody and beats ziko poa sana. Sema sasa yule video queen aliyeachia matiti na mat**ko nje kaiharibu sana hiyo video na naona BASATA hawatauacha salama.
Diamond ifike kipindi abadilike huwezi shindana na mkono wa Serikali, mwisho wa siku watakufungia kama Roma.
Jitathmini upya video hizo huwezi anagalia na mzazi akiwa pembeni. Hata leo nikisiki Waziri Shonza kaufungia huo wimbo sitoshangaa maana maadili hauna kabisa video gani matiti nje nje plus matako kama wacheza x bhana. Video za hivyo waachie kina Lil Wayne.
Mbona iyo ipo kitambo Diamond ndo kaiweka ila pia ipo clean version sio Mpaka u log inYou tube washafanya yaoView attachment 716878 View attachment 716879
Zpo version mbili labda ww ulichagua dirty ila clean ipo
Mbona iyo ipo kitambo Diamond ndo kaiweka ila pia ipo clean version sio Mpaka u log in
Ni kweli video haina maadili kabisa, hauwezi ukakaa na familia yako mukaitazama.
Uzuri na kwny account yke ya Vevo ame upload pia so ina wezekana akala sehemu zote mbiliClean version kaitoa baadae...ya kwanza kuwa uploaded ni dirty version na akaiwekea age restriction ( youtube ukiweka restriction hawakulipi hata kama ukipata viewers bilioni) ..hii ya pili Clean version ndo mpango mzima sasa...cheki inavokimbiza viewers,halafu inampa mtonyo
Video ina mawazo finyu sana. Hivi, african beauty ni matiti na makalio ya wasichana tu?
Vipi mandhari za kuvutia kama ngorongoro, mlima kilimanjaro, maporomoko ya mto limpopo huko zimbabwe nk sio african beauty hiyo?
Uzuri na kwny account yke ya Vevo ame upload pia so ina wezekana akala sehemu zote mbili