Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Deeem..! Imebidi niurudie mara tatu.. Vitu vingine vinachangamsha tu, don't take em serious. Wimbo upigwe tu. Jualian ebu tulia kidogo kwenye hili.
 
Anajiharibia local fanbase na bado ataendelea kulalamika ooo media za bongo hazipigi nyimbo za wasafi,Mbona nyimbo ya SIKOMI haina mbwembwe nyingi lakini hata views inazozaidi ya mil 11 alafu collabo na rickross hata mil 6 haijafika. jiongeze kaka unajiharibia mashabiki utaona kiba nyimbo atakayotoa haitakuwa na mbwembwe nying za wadada wakaa uchi na itapata air time kweny media,Alafu kweny hiyo nyimbo mpya kaharibu content kweny upande wa culture kwani masuala ya uchi sio ubeauty wa mdada wa kiafrika kama inavyotambulika,hayo mambo mwachie Jason na treysongz
Vp mchawi
 
yeye kalenga kumsifia mwanamke mrembo wa kiafrika..imba yako ya kusifia vivutio vya kiafrika kama hiyo misitu,milima,bahari na mbuga...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nawaonea huruma wadada tu jinsi wanavyo tumika kumnufaisha mtu, wao wanabaki wamedhalilika
 
Nimeusikiliza kwa umakini wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Omarion, ukweli ni wimbo mzuri sana melody and beats ziko poa sana. Sema sasa yule video queen aliyeachia matiti na mat**ko nje kaiharibu sana hiyo video na naona BASATA hawatauacha salama.

Diamond ifike kipindi abadilike huwezi shindana na mkono wa Serikali, mwisho wa siku watakufungia kama Roma.

Jitathmini upya video hizo huwezi anagalia na mzazi akiwa pembeni. Hata leo nikisiki Waziri Shonza kaufungia huo wimbo sitoshangaa maana maadili hauna kabisa video gani matiti nje nje plus matako kama wacheza x bhana. Video za hivyo waachie kina Lil Wayne.

Zpo version mbili labda ww ulichagua dirty ila clean ipo
 
Naskia katoa clean version uko inakimbiza views kama mvua ....masaa 7 ishagonga views laki 7....

Hapa ndo nimeamini kumbe viewers wengi ni under 18 hahahaha
 
Zpo version mbili labda ww ulichagua dirty ila clean ipo

Clean version kaitoa baadae...ya kwanza kuwa uploaded ni dirty version na akaiwekea age restriction ( youtube ukiweka restriction hawakulipi hata kama ukipata viewers bilioni) ..hii ya pili Clean version ndo mpango mzima sasa...cheki inavokimbiza viewers,halafu inampa mtonyo
 
Clean version kaitoa baadae...ya kwanza kuwa uploaded ni dirty version na akaiwekea age restriction ( youtube ukiweka restriction hawakulipi hata kama ukipata viewers bilioni) ..hii ya pili Clean version ndo mpango mzima sasa...cheki inavokimbiza viewers,halafu inampa mtonyo
Uzuri na kwny account yke ya Vevo ame upload pia so ina wezekana akala sehemu zote mbili
 
Video ina mawazo finyu sana. Hivi, african beauty ni matiti na makalio ya wasichana tu?
Vipi mandhari za kuvutia kama ngorongoro, mlima kilimanjaro, maporomoko ya mto limpopo huko zimbabwe nk sio african beauty hiyo?

Nani kakuambia Domo anafnya kazi wizara ya maliasili na utalii??!!
 
Uzuri na kwny account yke ya Vevo ame upload pia so ina wezekana akala sehemu zote mbili

Sio sehemu mbili tu mkuu...huyu dogo this time ametumia akili mnoo...kagusa kila idara....wale wa vevo twendeeee.... wale wa youtube changanyikeni twendeeee....na sisi wapenda dirty version(restricted youtuber) twendeeeee......yaan burudani tuuu
 
Huu ni udaku hatuwezi kuendelea.
Kama madai ni kwamba zisioneshwe kwenye midia sawa.
Ila Unaweza ukafaa kwa wapenzi na matamasha ya watu wazima.
Sio kwamba haufai kwa matumizi.
Hakuna kitu kisicho na matumizi
 
Mbona sijaona waonesha nyapu, tits tushazizoea!

Hao BASATA wakawafungie wadada kunyonyesha in public kama hawataki tuone tits!
 
Ila kulikua na ulazima gani wa kumuweka huyo mdada akiwa uchi?
angevaa short pant na top mbona ingekua poa tu?

Wanawake wanapenda sana kujidhalilisha walai. halafu haki sawa wakati wenzake wamevaa nguo yeye yupo uchi.

Pathetic.
 
Back
Top Bottom