Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

Over excitiment.
Kama vile umempania demu halafu ghafla akikupa puche unajikuta abdala kichwa wazi anasusa na kukataa kusimama kabisa. Cha ajabu demu akiondoka kwa kukusimanga saana nusu saa nyingi abdala kichwa wazi huyo anaanza kusimama.
Isikutokee kwa mwanamke wa kizaramo. Utajua hujui.
 
Hamna uchawi hapo
Hali kama hiyo imewahi kunikuta kwa mara ya kwanza nilisimama mbele ya watu wengi kabisa wa heshima na kuwa kimya kunisikiliza nnachoongea nilishindwa kusema kitu zaidi ya kuishiwa nguvu kwa uoga
nilianza kuwaona mashujaa wale wanaojiamini mbele ya kadamnasi na hapo nilianza ku Google jinsi ya kupata ujasiri wa kuongea mbele ya watu kwa kuwaza siku moja ntaaibika zaidi

Hata Rais samia aliwahi kusema juu ya kuongea mbele ya watu kwa kujiamini na kuhusu kusoma proposal alizoandikiwa na watu smart lakini wasiyoweza kuziwasilisha mbele ya kadamnasi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Ni kweli inatokea ila si kwa mtu kama IGP ,yaani amepita machaka kibao mpaka rais akamuamini na kumteua ina maana anamjua yupo vizuri....huyo ni kitete tu kilimpata ni kama yule dr wa siku ya afya summit mpaka dr gwajima akasema amechanja?
 
Bro yasikie kwa watu tu.... Kuna jamaa yangu aliwahi kuitwa kwenye interview ya udereva wa Gari za mizigo(truck) na alishangaa kuona wazee anawajua kitambo wanaendesha malori lakini siku iyo walishindwa kutoa Gari usifanye mchezo kaka!!
 
Hamna uchawi hapo
Hali kama hiyo imewahi kunikuta kwa mara ya kwanza nilisimama mbele ya watu wengi kabisa wa heshima na kuwa kimya kunisikiliza nnachoongea nilishindwa kusema kitu zaidi ya kuishiwa nguvu kwa uoga
nilianza kuwaona mashujaa wale wanaojiamini mbele ya kadamnasi na hapo nilianza ku Google jinsi ya kupata ujasiri wa kuongea mbele ya watu kwa kuwaza siku moja ntaaibika zaidi

Hata Rais samia aliwahi kusema juu ya kuongea mbele ya watu kwa kujiamini na kuhusu kusoma proposal alizoandikiwa na watu smart lakini wasiyoweza kuziwasilisha mbele ya kadamnasi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Shortly unajilinganisha na Madame president SSH?

Bado sana Chief!! Sanaaaa!!
 
Ni kweli ni uchawi huko Zambia wenye umri kuanzia hamsini na kuendelea walistaafishwa kwa lazima kuanzia miaka mitatu nyuma huko vijana waliosoma wakipandishwa vyeo tuu walikua wanapata ajali za ajabu ajabu au magonjwa..wengi wanakimbilia upande wa Afya Zambia na sio jeshi ni tatizo bila kuboost hawatoboi..
 
Back
Top Bottom