Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

Kwenye uchawi Hakuna kisiki.
Bora uwe mweupe uwe huru
 
Za mbao zinasema alifanya geresha hakuitaka nafasi ile sijui ukweli wake upi hapo.
aa wapi! Usiziamini hizo za ndani. Nani anakataa pesa, shangingi, mafuta ya bure na marupurupu?
 
Back
Top Bottom