Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

Nina hirizi nane na bado nakosa hela ya kula
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Achana nazo mkuu halafu upime uzito,majibu ubaki nayo mwenyewe [emoji23][emoji23]
 
Over excitiment.
Kama vile umempania demu halafu ghafla akikupa puche unajikuta abdala kichwa wazi anasusa na kukataa kusimama kabisa. Cha ajabu demu akiondoka kwa kukusimanga saana nusu saa nyingi abdala kichwa wazi huyo anaanza kusimama.
Isikutokee kwa mwanamke wa kizaramo. Utajua hujui.
 

Ni kweli inatokea ila si kwa mtu kama IGP ,yaani amepita machaka kibao mpaka rais akamuamini na kumteua ina maana anamjua yupo vizuri....huyo ni kitete tu kilimpata ni kama yule dr wa siku ya afya summit mpaka dr gwajima akasema amechanja?
 
Ni kweli inatokea ila si kwa mtu kama IGP ,yaani amepita machaka kibao mpaka rais akamuamini na kumteua ina maana anamjua yupo vizuri....huyo ni kitete tu kilimpata ni kama yule dr wa siku ya afya summit mpaka dr gwajima akasema amechanja?
Bro yasikie kwa watu tu.... Kuna jamaa yangu aliwahi kuitwa kwenye interview ya udereva wa Gari za mizigo(truck) na alishangaa kuona wazee anawajua kitambo wanaendesha malori lakini siku iyo walishindwa kutoa Gari usifanye mchezo kaka!!
 

Shortly unajilinganisha na Madame president SSH?

Bado sana Chief!! Sanaaaa!!
 
Shortly unajilinganisha na Madame president SSH?

Bado sana Chief!! Sanaaaa!!
Ni kwenye sentensi gani hiyo niliyojilinganisha na rais

Nadhani nimeongelea udhaifu wangu kuongea mbele ya watu na
Ujasiri wa rais kuongea mbele ya watu vitu ambavyo ni tofauti kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli ni uchawi huko Zambia wenye umri kuanzia hamsini na kuendelea walistaafishwa kwa lazima kuanzia miaka mitatu nyuma huko vijana waliosoma wakipandishwa vyeo tuu walikua wanapata ajali za ajabu ajabu au magonjwa..wengi wanakimbilia upande wa Afya Zambia na sio jeshi ni tatizo bila kuboost hawatoboi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…