Tatizo mleta mada amekaa kishirikina wakati mambo kama hayo ni jambo la kawaida sana kutokeaKuwa nimelogwa au siko sawa kisaikolojia?
Me Niko ok labda huwenda sijijui nna matatizo hayo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Si uzile izo sasaNina hirizi nane na bado nakosa hela ya kula
True tena ndo chanzo ufukara wetu maana uchawi,chuki,rohombaya,ujinga na umasikini vinaendana.Uchawi ni physics ya Afrika tena zaidi namanisha ndo sayansi kubwa.
Inshu ya saikoloji
lakini inaweza kuwa vibomu vya maofisini.
hizo ndiyo kazi zangu..
nimetegua sana
Hakutegemea kupata nafasi hioJamaa na elimu yake alishindwa kusoma aise.
Kipapai ni noma.
Toka hapa roho mbaya tuSi uzile izo sasa
Google,pakua elimu tani yakoMwenye pdf ya kitabu cha hizi sayansi anipm
Za mbao zinasema alifanya geresha hakuitaka nafasi ile sijui ukweli wake upi hapo.Umesahau yule aliyeshindwa kuapa mbele ya JPM pale Dodoma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toka hapa roho mbaya tu
Tunasemaga issue.Inshu ndiyo kitu gani jamani?
aa wapi! Usiziamini hizo za ndani. Nani anakataa pesa, shangingi, mafuta ya bure na marupurupu?Za mbao zinasema alifanya geresha hakuitaka nafasi ile sijui ukweli wake upi hapo.
Labda aliona mbele kuna hatari zaidiaa wapi! Usiziamini hizo za ndani. Nani anakataa pesa, shangingi, mafuta ya bure na marupurupu?
Ni kwenye sentensi gani hiyo niliyojilinganisha na rais
Nadhani nimeongelea udhaifu wangu kuongea mbele ya watu na
Ujasiri wa rais kuongea mbele ya watu vitu ambavyo ni tofauti kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Zambia hii wajameni
View attachment 1916903