Mi naweza afiki siamini kama tabia asili za mwanaume zimebadilika sana ila kilichopo sasa na kufanya mambo yawe hadharani sana ni teknolojia.
Huwezi kwepa matumizi ya simu maana ndio njia nyepesi ya kuwasiliana na hawara wako, mbaya zaidi mfumo jike ndio umetawala sana zama hizi mambo ya haki sawa hivyo mkeo akijua unachepuka aidha kakuta unaongea na simu na malaya wako au chats ili muende sawa nae anatafuta kolo yoyote anaruka nae!
Shida ukijua nae kakulipizia unaumia kufa, girls weren't meant to overpower us!
Wazee zamani walioa wanawake hata 6, na bado mtaani ana vibinti kadhaa, lakini wake zake hakuna aliyefungua mdomo kusema chochote walimtunzia "siri" mume wao japo watu wa nje wanajua lkn sio kwa kusikia kutoka kwa wake zake....tofauti ya sasa ni kwamba Wanawake wengi sio wavumilivu na wengi huongea wazi mambo ya ndani ya mume/mpenzi kitu ambacho sio sawa...
zamani sio ya kuiongelea hata, kidogo, tena uchepukaji wake ulikuwa wa kibabe, mtemi anakuja we unatoka unamuacha ndani na mkeo, anafanya anachojua yeye huko ndani we unakaa nje unaskilizia, akitoka hapo anaingia nyumba inayofuata, yaani kijiji kizima wake zenu ni wake zake akiwahitaji...mambo gani sasa ukizingatia zawani chupi ilikuwa hamna watu walimalizana sana kwenye makorongo, visimani, shamba huko, kwanza mnazungumzia zamani gani maana labda sijaelewa vizuri, kama ni zamani ile mgeni wa kimasai akija kwako achomeka mkuki nje ili mwenye nyumba ukija uje kuna njemba ipo ndani, aisee zamani ile wachepukaji walikuwa wababe kuliko sasa
Sisi tulioa kwa kuangalia tabia, wajukuu wanaoa kwa kuangalia sura na chura.... na wale wa jinsia ya pili wanaangalia maslahiUtupe uzoefu wajukuu zako kipi kilichosaidia relationships nyingi kudumu kwa muda mref ukilinganisha na hizi za wajukuu zenu kwa nini zinaishiwa pumzi muda mfupi sana.
[emoji106]Hahahhaha, nimeipenda hiyo red sentence mamiii. Lovely.
Kuna vijana huwa wanajipa moyo... Anajua kabisa anaoa/olewa na kimeo... ila utasikia "nitajitahidi kumbadilisha" ... Akisahau kuwa binadamu hafugwi kama mifugo.Hekima na Busara za babu hutazamwa kwa mawazo yake tu.
Asante Babu. 100%T.
MmmhKuna vijana huwa wanajipa moyo... Anajua kabisa anaoa/olewa na kimeo... ila utasikia "nitajitahidi kumbadilisha" ... Akisahau kuwa binadamu hafugwi kama mifugo.
Ukitaka starehe tafuta malaya, ukitaka kuoa tafuta mke.
Huo mguno veepee?Mmmh
AiseehKuna vijana huwa wanajipa moyo... Anajua kabisa anaoa/olewa na kimeo... ila utasikia "nitajitahidi kumbadilisha" ... Akisahau kuwa binadamu hafugwi kama mifugo.
Ukitaka starehe tafuta malaya, ukitaka kuoa tafuta mke.
Hamna ilitokea tuuHuo mguno veepee?
Afadhali maana ulishanirusha roho mtoto wa mwanamke mwenzio...Hamna ilitokea tuu
Naamini imekugusa kwa wema....Aiseeh
Imenigusa hii
Mhhhh sidhaniNaamini imekugusa kwa wema....