Wazee zamani walioa wanawake hata 6, na bado mtaani ana vibinti kadhaa, lakini wake zake hakuna aliyefungua mdomo kusema chochote walimtunzia "siri" mume wao japo watu wa nje wanajua lkn sio kwa kusikia kutoka kwa wake zake....tofauti ya sasa ni kwamba Wanawake wengi sio wavumilivu na wengi huongea wazi mambo ya ndani ya mume/mpenzi kitu ambacho sio sawa...