Kwa vijana wa kiume mnaotarajia kuoa

Kwa vijana wa kiume mnaotarajia kuoa

Wakiolewa dada zake inatosha ๐Ÿ˜น
Mimi nashangaa eti kakosa mume kheee aliyemwambia anataka ndoa ni nani ndio maana huyo dada kaongeza mwendo awahi mambo yake ya msingi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kwahiyo ukifanya mambo hayo yote ndio mtakuwa hamuachani
 
Mimi nashangaa eti kakosa mume kheee aliyemwambia anataka ndoa ni nani ndio maana huyo dada kaongeza mwendo awahi mambo yake ya msingi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanaume ni wajinga sana, sijui nani aliyewaambia tuna uhitaji wa ndoa??
Tuache kufikiria vitu vya maana, tufikirie kwenda kufua boksa zao zenye yutiayi ๐Ÿคฃ
 
Khaah ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜‚
 
Baada ya kupata jina jipyaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Halafu hili jina kanipa jamaa mmoja namlavu kinouma ๐Ÿ˜
Ushawahi kupewa jina na mwanaume unayempenda wifi?
 
niliitwaga kindege wii yaani acha tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom