Kwa vijana wa kiume mnaotarajia kuoa

Wakiolewa dada zake inatosha 😹
Mimi nashangaa eti kakosa mume kheee aliyemwambia anataka ndoa ni nani ndio maana huyo dada kaongeza mwendo awahi mambo yake ya msingi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwahiyo ukifanya mambo hayo yote ndio mtakuwa hamuachani
 
Mimi nashangaa eti kakosa mume kheee aliyemwambia anataka ndoa ni nani ndio maana huyo dada kaongeza mwendo awahi mambo yake ya msingi πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanaume ni wajinga sana, sijui nani aliyewaambia tuna uhitaji wa ndoa??
Tuache kufikiria vitu vya maana, tufikirie kwenda kufua boksa zao zenye yutiayi 🀣
 
Khaah πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
 
Baada ya kupata jina jipyaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu hili jina kanipa jamaa mmoja namlavu kinouma 😍
Ushawahi kupewa jina na mwanaume unayempenda wifi?
 
niliitwaga kindege wii yaani acha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…