Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #21
Yes, nilipita, tulikuwa wagombea 176, wagombea tukiopata kura ni wagombea 47, wagombea 129 hawakupata kitu!.Sorry kwa kuwa nje ya maada Vipi Ulipita Kura za Maoni? Ndugu Paschal Njaa a.k.a Mayalla?
Sorry kwa kuwa nje ya maada Vipi Ulipita Kura za Maoni? Ndugu Paschal Njaa a.k.a Mayalla?
Wajumbe sio watu kabisa, kwenye zoezi la kura za maoni, ni mwenye kisu kikali ndio anakula nyama, lakini kwenye vikao wanaangalia merits, mimi merits ninazo ila tatizo ni kisu!we mayalla nimeshakwambia wanokuweza wewe ni WAJUMBE.
Hongera sana mwamba hakika unakubalikaYes, nilipita, tulikuwa wagombea 176, wagombea tukiopata kura ni wagombea 47, wagombea 129 hawakupata kitu!.
Kwa upande wangu mimi, nilipata kura moja ya ushindi.
P
Mi napingana na ww , mkapa enzi zake ni Kama hz za magufuri tu ..nchi hii demokrasia ilitamalaki kipindi Cha kikwete tuWanabodi,
Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.
Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.
Karibu.
Paskali
niliuliza "nimesikia mayalla yupo "vipi upepo wake"?Wajumbe sio watu kabisa, kwenye zoezi la kura za maoni, ni mwenye kisu kikali ndio anakula nyama, lakini kwenye vikao wanaangalia merits, mimi merits ninazo ila tatizo ni kisu!
tunasubiria vikao.
P
Yes, nilipita, tulikuwa wagombea 176, wagombea tukiopata kura ni wagombea 47, wagombea 129 hawakupata kitu!.
Kwa upande wangu mimi, nilipata kura moja ya ushindi.
P
Pascal vipi bwana,baba wa democrasia ndiyo nini tena.This looks like political jargon to me. I thought wewe kama mwandishi wa habari unajua the basics of democracy and why the illusion is here in the first place.Hebu fanya utafiti wa kina kuhusu the so called democracy,angalau for your own benefit.Achana na bullshit tuliyopandikiziwa mashueni,it's all done for an evil purpose. Tafuta ukweli wako binafsi.Wanabodi,
Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.
Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.
Karibu.
Paskali
Kwa nilichokisema kumhusu kumuenzi Benjamin Mkapa, leo nakisema tena kwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, tumuenzi kwa kuyaendeleza yale aliyo yaamini.Wanabodi,