Kwa vile Benjamin William Mkapa ni baba wa demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, tumuenzi kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia

Kwa vile Benjamin William Mkapa ni baba wa demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, tumuenzi kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia

we mayalla nimeshakwambia wanokuweza wewe ni WAJUMBE.
Wajumbe sio watu kabisa, kwenye zoezi la kura za maoni, ni mwenye kisu kikali ndio anakula nyama, lakini kwenye vikao wanaangalia merits, mimi merits ninazo ila tatizo ni kisu!
tunasubiria vikao.
P
 
Hongera Paskali kwa mjengo.

Hongera kwa maktaba safi kabisa.

Umenikumbusha niliyatunza magazeti ya majira kipindi cha taarifa za mwalimu Nyerere kuumwa London,kifo hadi maziko yake.

Kuna muhuni gani sijui akaja akayaiba yote. Nilijibana nikiwa shule kuyanunua magazeti haya.

Msalimie huyo dada,naomba unipe mualiko kwako.
 
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali
Mi napingana na ww , mkapa enzi zake ni Kama hz za magufuri tu ..nchi hii demokrasia ilitamalaki kipindi Cha kikwete tu
 
Wajumbe sio watu kabisa, kwenye zoezi la kura za maoni, ni mwenye kisu kikali ndio anakula nyama, lakini kwenye vikao wanaangalia merits, mimi merits ninazo ila tatizo ni kisu!
tunasubiria vikao.
P
niliuliza "nimesikia mayalla yupo "vipi upepo wake"?
nikajibiwa "mayalla hayupo serious anategemea demokrasia ndo impitishe"

moja kwa moja nikajua utachofanywa na itabaki siri yako
 
Yes, nilipita, tulikuwa wagombea 176, wagombea tukiopata kura ni wagombea 47, wagombea 129 hawakupata kitu!.
Kwa upande wangu mimi, nilipata kura moja ya ushindi.
P

Nimependa venye umejibu, na ili kuiweka vizuri zaidi sema ulimzidi anayekufuatia kwa kura moja... sasa mnasubiri maamuzi ya vikao.
 
mkapa ndiye rais pekee kupitia ccm niliyewahi kumpigia kura. 1995. akashinda na miaka yake mitano ya kwanza aka-championi demokrasia kwelikweli kiasi kwamba 2000 nikabadili gia angani. kwa mapenzi yangu kwake niliamua kuwa vuguvugu. nilikuwa namkubali yeye personally lakini nilikuwa nazikubali hoja za upinzani. sikupiga kura.

ana mapungufu yake kama mwanadamu, kasoro ya zanzibar kwa mfano nadhani alishauriwa vibaya na majitu ya ccm lakini hakika alikuwa kiongozi.

kikwete sikuwahi kumpigia kura japo nae ni baba wa demokrasia. huyu wa sasa wanaompigia kura nawashangaa.
 
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali

Pascal vipi bwana,baba wa democrasia ndiyo nini tena.This looks like political jargon to me. I thought wewe kama mwandishi wa habari unajua the basics of democracy and why the illusion is here in the first place.Hebu fanya utafiti wa kina kuhusu the so called democracy,angalau for your own benefit.Achana na bullshit tuliyopandikiziwa mashueni,it's all done for an evil purpose. Tafuta ukweli wako binafsi.
 
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali

Kwa nilichokisema kumhusu kumuenzi Benjamin Mkapa, leo nakisema tena kwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, tumuenzi kwa kuyaendeleza yale aliyo yaamini.
P
 
Back
Top Bottom