Kwa vile Israel imekubali yaishe; je, kuna umuhimu kuonewa huruma ili dunia ipate nafuu?

Hivi kichwa umebeba tu, kumbe empty brain unaongea, huna kitu ndani, hadi vita vinaanza nani alianza kuua mwenzake? Nani alianza kuvamia na kuua raia wa Israel na mataifa mengi wakiwa katika sherehe yao? Nani? Hadi mtanzania kauawa na Hamas, tena vita ilikuwa hakuna, hivi umejitoa akili kabisa wewe? Hamas ni magaidi pumbaf sana, inafaa waangamizwe kabisa hata mmoja asibaki, ni kuwa hujui kabisa hata chanzo za vita hivi wewe, uko kama kichaa tu unaandika, of course you have mental disorder, but huponi hata kujua ukweli, vita havianzi tu kuna sababu, hata sababu hujui, wewe kichaa kabisa.
Wee Mbulula kanye kwanza kisha ujisafishe ndo uje na kiswa-english yako hapa jukwaani, nimezoea kuona walevi wakichanganya lugha ya kiswahili na kiingereza, sijui nawe ni mmojawao????!!!!
 
I will castrate you, shithole, umeingia juzi humu hujui watu, scented mouth, nyoko wee
 
Hivi kichwa umebeba tu, kumbe empty brain unaongea, huna kitu ndani, hadi vita vinaanza nani alianza kuua mwenzake? Nani alianza kuvamia na kuua raia wa Israel na mataifa mengi wakiwa katika sherehe yao? Nani? Hadi mtanzania kauawa na Hamas, tena vita ilikuwa hakuna, hivi umejitoa akili kabisa wewe? Hamas ni magaidi pumbaf sana, inafaa waangamizwe kabisa hata mmoja asibaki, ni kuwa hujui kabisa hata chanzo za vita hivi wewe, uko kama kichaa tu unaandika, of course you have mental disorder, but huponi hata kujua ukweli, vita havianzi tu kuna sababu, hata sababu hujui, wewe kichaa kabisa.
Wewe ndio huna kumbukumbu.Habari ya vita hivi imeshaelezwa zamani na kwa urefu na hata mimi nimeandika sana hapa hapa JF.
Kama hujapenda Israel kuamua kurudisha nyuma askari basi waulize wao au nenda wewe mbele ukapambane na Hamas.
 
Hata usipovutika wewe kusoma nukta ziko wazi tu ya kuwa Israel inaondoka Gaza baada ya miezi 6 ya mapigano yasiyo na faida.
Yasio na faida wewe una akili sawasawa?.....unajua Israel anachoifanya Gaza mpaka duania nzima inaomba cease fire?....alafu unakuja kenge MMOJA upo zako madrasa na msigida wako kama kilaka unasema malengo hayajatimia😀😀
 
Israil ni mtoa roho, alisikika mtu mmoja mvaa kobazi!

Huyo huyo eti bado anaomba mechi na mtoa roho!..? Huu ni Ujinga wa wazi kabisa na kuvimbiwa tende!

Hiyo kura ya Veto imeshindwa sembuse wavaa kobazi??
 
kiburi sio sifa nzuri
 
Ni kawaida mafanikio huwa yanawakera baadhi ya watu waovu.
Yaani nyinyi mlipenda kila siku msome wapalestina 110 wameuliwa na majumba 10 yamevunjwa.
Mkuu ninacho kukubali ni very matured mala nyingi watu naona wanakutolea lugha mbaya lakn unajibu vizuri very cool yaani not like others ambao mala nyingi huanza na sijui kafiri wewe sijui nenda kabarikiwe shoga ww

Wengine sisi jF ni DARASA tupo kujifunza vitu ambavyo either hatuvijui kabisa au tunavijua but tuli feed bongo zetu kwa wrong info

Keep it up uongo au ukweli hupigwa kwa hoja with vivid examples
 
Matukio ya jana jimboni Gaza na kauli kutoka Marekani na Israel ni wazi kuwa mbabe mkubwa amekubali kistaarabu ili yaishe.

Shinikizo la kuondoa askari Gaza si la Benjamin Netanyahu kwa ridhaa yake bali limetokana na ukweli aina tofauti katika uwanja wa vita.

Ukweli wa mwanzo ni kuwa hali ya uchumi wa Israel imekuwa mbaya na tishio la Marekani kuzuia misaada liko wazi sana kutokana na majukumu yaliyolielemea taifa hilo,ikichangiwa na jeuri ya Netanyahu kupingana na kujibizana na raisi Biden.

Ukweli wa pili ni kuwa Israel imeona kuwa malengo yake hayana dalili ya kutimia, ambayo yalikuwa ni kuokoa mateka na kuwasambaratisha Hamas na wenzao ili wasiweze tena kutawala jimboni humo.

Na mwisho kama ilivyoelezwa na washirika hao ni kuwa wanajeshi wamechoka kupigana bila kuona matokeo mbali na kuua watu ovyo na wengi kutaka wapumzike.Katika hali kama hiyo kuwalazimisha kupigana na kuendelea kubaki mbali na familia zao ni hatari zaidi na mwishowe wanaweza kuasi kwa mpigo jambo ambalo limeshaanza kwa hatua za awali.

Kauli kwamba brigedia moja imeachwa kuangalia watu wasirudi kaskazini ni kauli ya kujitoa kimaso maso kwani hiyo hiyo jana mamia ya watu wamerudi makwao na bila vikwazo.Kwa upande mwengine si rahisi kwa askari waliobaki kumudu wimbi la watu kutaka kurudi majumbani mwao wakati ambapo waliweza kupenya hata kabla ya tukio hili la kuondoshwa brigedia zilizokuwa zikipiga kwa nguvu.

Baada ya yote hayo suala muhimu, ni je kuna umuhimu wa Israel baada ya uovu wao huo ihurumiwe na wapinzao wao kama vile Houth na Hezbollah.

Je, Hamas wawaachie mateka warudi makwao na Hizbullah iache kurusha makombora kaskazini ya Israel ili waisrael wanaoishi kwenye mahoteli ya kulipiwa nao warudi makwao.

Na je, Houth waache kushambulia meli na kurusha maroketi kusini ya Israel. Mara baada ya tangazo la Israel kurudisha nyuma askari tayari bei ya mafuta duniani imeshuka kidogo.
Vipi kichapo cha gaza.....kimekuchanganya 🤣🤣🤣🤣 mzee wa kutwa mara tano
 
Najua sana hali ilivyo huko.Watu wameuliwa sana na hata aliyeuwa amechoka kuua bila kutimiza hata lengo moja.
Muhimu wamechoka na wameamua kurudi nyumbani hatua kwa hatua.Huo ni ushindi mkubwa kwa Hamas na watu wote wapenda haki duniani.
Usije kuukimbia huu uzi.......wewe si ulisema IDF WAOGA HAWAWEZI KUINGIA GAZA
 
Matukio ya jana jimboni Gaza na kauli kutoka Marekani na Israel ni wazi kuwa mbabe mkubwa amekubali kistaarabu ili yaishe.

Shinikizo la kuondoa askari Gaza si la Benjamin Netanyahu kwa ridhaa yake bali limetokana na ukweli aina tofauti katika uwanja wa vita.

Ukweli wa mwanzo ni kuwa hali ya uchumi wa Israel imekuwa mbaya na tishio la Marekani kuzuia misaada liko wazi sana kutokana na majukumu yaliyolielemea taifa hilo,ikichangiwa na jeuri ya Netanyahu kupingana na kujibizana na raisi Biden.

Ukweli wa pili ni kuwa Israel imeona kuwa malengo yake hayana dalili ya kutimia, ambayo yalikuwa ni kuokoa mateka na kuwasambaratisha Hamas na wenzao ili wasiweze tena kutawala jimboni humo.

Na mwisho kama ilivyoelezwa na washirika hao ni kuwa wanajeshi wamechoka kupigana bila kuona matokeo mbali na kuua watu ovyo na wengi kutaka wapumzike.Katika hali kama hiyo kuwalazimisha kupigana na kuendelea kubaki mbali na familia zao ni hatari zaidi na mwishowe wanaweza kuasi kwa mpigo jambo ambalo limeshaanza kwa hatua za awali.

Kauli kwamba brigedia moja imeachwa kuangalia watu wasirudi kaskazini ni kauli ya kujitoa kimaso maso kwani hiyo hiyo jana mamia ya watu wamerudi makwao na bila vikwazo.Kwa upande mwengine si rahisi kwa askari waliobaki kumudu wimbi la watu kutaka kurudi majumbani mwao wakati ambapo waliweza kupenya hata kabla ya tukio hili la kuondoshwa brigedia zilizokuwa zikipiga kwa nguvu.

Baada ya yote hayo suala muhimu, ni je kuna umuhimu wa Israel baada ya uovu wao huo ihurumiwe na wapinzao wao kama vile Houth na Hezbollah.

Je, Hamas wawaachie mateka warudi makwao na Hizbullah iache kurusha makombora kaskazini ya Israel ili waisrael wanaoishi kwenye mahoteli ya kulipiwa nao warudi makwao.

Na je, Houth waache kushambulia meli na kurusha maroketi kusini ya Israel. Mara baada ya tangazo la Israel kurudisha nyuma askari tayari bei ya mafuta duniani imeshuka kidogo.
Wa kuonewa huruma....ni waarabu na wale watu wa imani yako ambayo mungu wa kiarabu amewaagiza muwaue na kuwamaluza wayahudi ilampaka leo mmeshindwa🤣🤣🤣
 
Inajiandaa kuivamia Rafah! Vile vile inajitayarisha kwa vita vingine na Iran baada ya kushambulia ubarozi wa Iran pale Syria.
Tishio la Iran kulipiza kisasi linaipa wakati mgumu Israel.
 
Usije kuukimbia huu uzi.......wewe si ulisema IDF WAOGA HAWAWEZI KUINGIA GAZA
wapi nilisema
Mimi najua IDF si waoga nilichokuwa nasema tangu mwanzo ni kuwa IDF mwishowe watashindwa pamoja na ushujaa wao na ukubwa wa jeshi na teknolojia walizonazo
 
Wameshindwa...wapi????
Mbona hamas haitoi figure ya wanajeshi wake waliokufa????
Unajua kwanini???
 
Uandishi wa madrasa utaujuwa tu, haumvutii hata msomaji kusoma pumba zako.
😄😄😄😄😄😄😄ila sisi makafiri tunadharau afu tunajua afu kielimu tuko vizuri...... tunaitwa makafiri ila waislam kila siku wanakimbilia nchi za makafiri huwa nashangaa sana maislam
 
Back
Top Bottom