Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta ni kiongozi aliyechaguliwa na Mungu!

Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta ni kiongozi aliyechaguliwa na Mungu!

Mzee wa tungi anasifiwa eeh!! Duniani yasasa inahitaji kiongozi aliye resiresi sio mtusoft nahuo ndio ukweli viongozi kama Kim,Putin,trump nk. mpaka England wameliona hilo!! Tuko sahihi na Magu na tutafika pahali japo tupo tutakaoumia lakini wengi watakuja kufaidi mema ya nchi. Hapa ndiyo ile kauli yakibabe "mvumilivu hula mbivu" inapokuja! tofauti naile yakinyoronyoro "ukitaka kula lazma uliwe" sasa wanaotaka kuliwa kidogo wakaliwe sisi tunavumilia na kupambana wenyewe kishujaa mpaka tutoboe. We we mchina anajenga barabara Kenya alafu anajimilikisha kwa miaka 30 huo si ni upuuzi na ukoloni kabisa
Kwan mliman city imemilikiwa miaka mingap na wale jamaa mkuu
 
Uhuru kakulia ikulu.Hana inferiority complex wala ushamba na ikulu.
 
Usilojua sawa na usiku wa kiza
Kenya ndio nchi inayoongoza kwa extra judicial killings in Africa
Mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi kenya,alikatwa kiganja na kuuwawa
Mgombea ubunge wa jimbo la starehe,aliuawa getini baada ya matokeo kutangazwa
Mtoto wa Odinga,aitwaye fidel castro aliuawa
Kenya ni nchi inayoongoza kwa ufisadi katika EA
Waziri Naomi shaaban alikwapua mabilioni ya kuwapa mikopo vijana akakutwa nayo
Waziri wa fedha kapiga mabilioni ya umwagiliaji maji
Hiyo ni mifano michache tu,wakenya wanaomba huyo uhuru muda wake uishe tu
Hiyo idadi uliyotaja ni ndogo sana ukilinganisha na Tz
 
Hi!

Nimesikiliza wimbo wa Rose Mhando wa shukrani- Kenya Ulindwe!

Na baada ya kuusikiliza nikajiuliza kwanini hizi baraka zisibaki kwetu au ziende pengine popote?

Kwanini zimuendee Uhuru?

Nikakumbuka pia sakata la vifaranga vya kuku vilivyochomwa moto na ng'ombe zilizotaifishwa na reaction ya Uhuru, nikasema kweli Uhuru ubarikiwe na malango yako yawe salama!
Uhuru ana uhaiba fulani na Kikwete.

Ukimuangalia Kagame unaona Panga na damu, Ukimuangalia Museveni naye Panga na damu, hapo Burundi panga na damu!

Mzee Meko namheshimu sana siwezi kumuongelea, siwezi hata kufunga kamba za viatu vyake!

Uhuru, Mungu akulinde, Uhuru uinuliwe, Uhuru malango yako yabarikiwe, Nasema tena Uhuru, narudia Uhuru, mipaka yako ilindwe!

Mbingu zinene mema, kwaajili yako zinene mema.

Uhuru ubarikiwe pamoja na watoto wako.

Uhuru ulimpokea Lissu na hukufanya hiana!
Uhuru pokea baraka.

Kenya pokeeni baraka kwakuwa mnaye Uhuru!
Majina uendana na tabia ya mtu.Huwezi ukaitwa uhuru ukawa na tabia za kidikteta.
 
Uhuru ana exposure ni born town km JK akuja mjini kwa roli la ng'ombe,ni mature si primitive ni civilized,ni mfanyabiashara ana mindeset za kitajiri,anajua lugha,anajiamini ana ujasiri wa kujenga na kujibu hoja check speech zake ni muumini Wa hoja kwa hoja tofauti na hao, hoja ujibiwa kwa bunduki.
 
Leo tunaweza kifungua midomo kuongelea mapungufu ya kenya ila ya hapa kwetu hatuthubutu!
Kama unazo za kulipia fine baada ya kuandika barua ruksa kufunua mdomo.Huna utamfata alipo Ben 8 na Azory
 
Inferiority complex,luck of exposure,lack of inner confidence,highest level of inner selfish ness,luck of education and civilization,bad historical childhood,luck of God fear ndo tatizo kuu kwa wote hao kuanzia south sudan ndo inampa Uhuru kuwa the best.
 
Huyo mtu wa IT alikua tishio kwa utawala uk,alisema wazi wazi safari hii mtandao hautafeli na kura hazitaibwa
Huyo mtoto wa odinga alikua aje kuwa mrithi wa baba yake kisiasa,serikali ikaona bora kubaki na huyo mzee aliechoka kuliko kumuacha kijana atakaesumbua miaka mingi
Mombasa kulikua na sheikh anaitwa Makaburi,alikua mpinzani mkuu wa serikali maeneo hayo,alipigwa risasi barabarani vitoto vyake vikaachwa ndani ya hiace
Angepita huyo mwingine wakenya wangekuwa wakilia saa hii
 
Uhuru is presidential material.....nilimkubali pale odinga alipoitisha mkutano ili kula kiapo cha kuwa rais, Uhuru akatuma polisi wakalinde ule mkutano.....ila lingekuwa ni hili jitu la shetani tungeongelea mauaji ya alaiki.....hongera Uhuru kenyata......Hekima ndo msingi wa kila kitu....ila hili li ibilisi halina hata chembe
Asingebaki mtu.Kama mtu mmoja katendewa vile area D vipi hao si wangetupiwa nyuklia
 
Ukanda huu Kenya wamebarikiwa sana uongozi wake na kikwete hautofautiani sana ni viongozi afrika itayowakumbuka sana km tz kikwete nathubutu kusema ni raisi bora kuwahi kutawala hili taifa ukimtoa baba Wa taifa
 
Kwani kunani huko?
Ujue Nina mambo ya maana saa hizi?
Huko wapi? Ni hapa hapa! Acha kujifanya upo kwenye chumba kingine wakati sauti yako inapenyeza kutoka kwenye kitchen. Ukimaliza kula mihogo yako na 'strong tea' njoo humu umwage mipovu ya kilo. 😀
 
Kwa hiyo wengine wamechaguliwa na shetani? Maana sijaelewa hapa
 
Hiyo idadi uliyotaja ni ndogo sana ukilinganisha na Tz
We Acha porojo,Naomi Shaban ni waziri wa nini? Tangu lini Naomi akawa waziri? Mbunge wa starehe yupi alieuawa ? Kwa taarifa yako mbunge wa starehe ni jaguar ambaye alimshinda maina kamanda .Usiwe unadakiadakia tu vitu usiovyelewa.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom