Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta ni kiongozi aliyechaguliwa na Mungu!

Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta ni kiongozi aliyechaguliwa na Mungu!

Kwa hiyo wengine wamechaguliwa na shetani? Maana sijaelewa hapa
Swali nzuri sana hili! Mleta mada aje ajibu, maanake hata mimi akili zangu zilikuwa zimeanza kuegemea upande wa 'masta' mwingine. [emoji23]
2bb13bd47cdb9e451a5dde47686fb317.jpg
 
Huko wapi? Ni hapa hapa! Acha kujifanya upo kwenye chumba kingine wakati sauti yako inapenyeza kutoka kwenye kitchen. Ukimaliza kula mihogo yako na 'strong tea' njoo humu umwage mipovu ya kilo. 😀

Ndo namalizia magimbi na mtindi. Niambie kunani huko!!? Au ni huyo teja rozi.
🤣 🤣 🤣
 
Angepita huyo mwingine wakenya wangekuwa wakilia saa hii
Kuna faida gani kucheka huku uchumi unakwenda na maji?
Tanzania tunawakimbilia kwa kasi,wao ndio.wamezama kwenye ufisadi
 
Hi!

Nimesikiliza wimbo wa Rose Mhando wa shukrani- Kenya Ulindwe!

Na baada ya kuusikiliza nikajiuliza kwanini hizi baraka zisibaki kwetu au ziende pengine popote?

Kwanini zimuendee Uhuru?

Nikakumbuka pia sakata la vifaranga vya kuku vilivyochomwa moto na ng'ombe zilizotaifishwa na reaction ya Uhuru, nikasema kweli Uhuru ubarikiwe na malango yako yawe salama!
Uhuru ana uhaiba fulani na Kikwete.

Ukimuangalia Kagame unaona Panga na damu, Ukimuangalia Museveni naye Panga na damu, hapo Burundi panga na damu!

Mzee Meko namheshimu sana siwezi kumuongelea, siwezi hata kufunga kamba za viatu vyake!

Uhuru, Mungu akulinde, Uhuru uinuliwe, Uhuru malango yako yabarikiwe, Nasema tena Uhuru, narudia Uhuru, mipaka yako ilindwe!

Mbingu zinene mema, kwaajili yako zinene mema.

Uhuru ubarikiwe pamoja na watoto wako.

Uhuru ulimpokea Lissu na hukufanya hiana!
Uhuru pokea baraka.

Kenya pokeeni baraka kwakuwa mnaye Uhuru!
Naona mmeshiba makande mnaropoka.
Hamjui jinsi wakenya wanavyomchukia huyu Uhuruto.
Kenya inaongoza kwa judiciary killings.
Na Kenya ina ukabila hadi ktk uongozi .
Na huyo Uhuru ndiye anayeongoza.
MSIMFANANISHE MTU ALOFANYA WAKENYA KUUANA NA KUCHOMANA MOTO KTK UCHAGUZI NA MAGUFULI NINYI.
HUYO UHURUTO ALIPELEKWA ICC BADO MNAMCHUKULIA RAIS BORA???
ANAONGOZA MIRADI YA NCHI KIFISADI BADO MNAMUITA KIONGOZI BORA???
AMEIPELEKA NCHI KUKOSA AJIRA NA KUFUNGA AJIRA KWA MIAKA 3 BADO MNAMWITA KIONGOZI BORA ??
LAU UNGETIZAMA MAAFA ALIYOSABABISHA HUYO MLEVI KIPINDI CHA UCHAGUZI WA MWISHO USINGEROPOKA HAYA KWA KUSHIBA MAKANDE.
 
Hi!

Nimesikiliza wimbo wa Rose Mhando wa shukrani- Kenya Ulindwe!

Na baada ya kuusikiliza nikajiuliza kwanini hizi baraka zisibaki kwetu au ziende pengine popote?

Kwanini zimuendee Uhuru?

Nikakumbuka pia sakata la vifaranga vya kuku vilivyochomwa moto na ng'ombe zilizotaifishwa na reaction ya Uhuru, nikasema kweli Uhuru ubarikiwe na malango yako yawe salama!
Uhuru ana uhaiba fulani na Kikwete.

Ukimuangalia Kagame unaona Panga na damu, Ukimuangalia Museveni naye Panga na damu, hapo Burundi panga na damu!

Mzee Meko namheshimu sana siwezi kumuongelea, siwezi hata kufunga kamba za viatu vyake!

Uhuru, Mungu akulinde, Uhuru uinuliwe, Uhuru malango yako yabarikiwe, Nasema tena Uhuru, narudia Uhuru, mipaka yako ilindwe!

Mbingu zinene mema, kwaajili yako zinene mema.

Uhuru ubarikiwe pamoja na watoto wako.

Uhuru ulimpokea Lissu na hukufanya hiana!
Uhuru pokea baraka.

Kenya pokeeni baraka kwakuwa mnaye Uhuru!
Monkeys ndiyo waliomchagua monkey mwenzao
 
Back
Top Bottom