Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta ni kiongozi aliyechaguliwa na Mungu!

Kwa hiyo wengine wamechaguliwa na shetani? Maana sijaelewa hapa
Swali nzuri sana hili! Mleta mada aje ajibu, maanake hata mimi akili zangu zilikuwa zimeanza kuegemea upande wa 'masta' mwingine. [emoji23]
 
Huko wapi? Ni hapa hapa! Acha kujifanya upo kwenye chumba kingine wakati sauti yako inapenyeza kutoka kwenye kitchen. Ukimaliza kula mihogo yako na 'strong tea' njoo humu umwage mipovu ya kilo. 😀

Ndo namalizia magimbi na mtindi. Niambie kunani huko!!? Au ni huyo teja rozi.
🤣 🤣 🤣
 
Angepita huyo mwingine wakenya wangekuwa wakilia saa hii
Kuna faida gani kucheka huku uchumi unakwenda na maji?
Tanzania tunawakimbilia kwa kasi,wao ndio.wamezama kwenye ufisadi
 
Naona mmeshiba makande mnaropoka.
Hamjui jinsi wakenya wanavyomchukia huyu Uhuruto.
Kenya inaongoza kwa judiciary killings.
Na Kenya ina ukabila hadi ktk uongozi .
Na huyo Uhuru ndiye anayeongoza.
MSIMFANANISHE MTU ALOFANYA WAKENYA KUUANA NA KUCHOMANA MOTO KTK UCHAGUZI NA MAGUFULI NINYI.
HUYO UHURUTO ALIPELEKWA ICC BADO MNAMCHUKULIA RAIS BORA???
ANAONGOZA MIRADI YA NCHI KIFISADI BADO MNAMUITA KIONGOZI BORA???
AMEIPELEKA NCHI KUKOSA AJIRA NA KUFUNGA AJIRA KWA MIAKA 3 BADO MNAMWITA KIONGOZI BORA ??
LAU UNGETIZAMA MAAFA ALIYOSABABISHA HUYO MLEVI KIPINDI CHA UCHAGUZI WA MWISHO USINGEROPOKA HAYA KWA KUSHIBA MAKANDE.
 
Monkeys ndiyo waliomchagua monkey mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…