Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu.
Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki udhalimu huu
Sasa inashangaza kuona viongozi hawa hawa ambao ni wahusika wa dhambi hii wanakuwa wa kwanza kumlilia Mungu alete mvua.
Kwa usafi gani? Kwa kipi? Kwa (upako) nguvu ipi? Na kwa jema lipi ? Mungu anaweza kuyapokea maombi ya viongozi hawa (wa serikali na dini) waovu hadi alete mvua??? Maombi ya mwenye dhambi ni makelel mbele za Mungu.
Viongozi wa serikali na dini msiyachoshe masikio yetu kwa kuaikiliza kelele zenu.