Uchaguzi 2020 Kwa vituko vya Seif na CHADEMA, hakika upinzani bado sana Tanzania

ACT na CHADEMA wanavyojichanganya ndio nafasi ya CCM kutoboa katikati.

Au unataka kusema unamapenzi Sana kwa Chadema na ACT kuliko CCM?
 
Wote hao ni wabinafsi tu! Hawaangalii maslahi ya wengine.
 
Kama kweli ww ni mjuzi wa siasa za bongo sion kama Kuna shida yoyote hapo

Nilichogundua ni kuwa, kuchukua mtu kutoka CCM na kumleta upinzani basi ni tatizo

Membe Alitakiwa kwa Sasa amuunge mkono Lisu coz yuko kwenye peak zaidi yake

But Membe Sasa anataka kuleta mambo ya kugawa kura na Kucheza na mind za watu
 
Kamanda hamjajipanga,hamna msimamo
 
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
 
Shabaaash...mpaka sikio la kenge uone damu ujue ndio byebye..hiyoo..shwainnmmmmmnny. Bora hata makelele ya uongo yapungue..ningemshauri hata Lisu aachane na campaign maana ni aibu mbele ya wananchi..asepe zake ubelgiji. Hana tija..kwa nchi..asione aibu. Membe ameshamtengeneza.
 
Upinzani hawajipanga kabisa yaani. Hivi Membe so alipitishwa kwenye vikao rasmi vya chama? Sasa inakuwaje analazimishwa kumsapoti mgombea urais wa chama kingine? Mambo ya ajabu kabisa haya.
 
Ushauri kuntu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…