bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
•View attachment 1606294View attachment 1606295View attachment 1606297View attachment 1606298
Watanzania wazalendo, hawata chagua huu upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
•View attachment 1606294View attachment 1606295View attachment 1606297View attachment 1606298
Watanzania wazalendo, hawata chagua huu upuuzi.
hawa ndio wanamlaumu Magufuli kwa udikteta lakini kna tofauti kubwa Magufuli anafanya hivyo kupitia vikao halali lakini wao hata vikao halali hawavieshimu bali wanatoa matamko jukwaani.
Ni kama walivyofanya maamuzi ya kumteua Lowassa waliogopa wakiweka ushindani asingepitishwa, kwa siasa za namna hii ccm wataendelea kubaki madarakani muda mrefu.
Huyu mlemavu akipata kura mil 3 itabidi akatambike.
Kama wana ubavu waiambie NEC na ZEC kuondoa kwenye ballot paper majina ya Mgombea wa ACT Bara na Mgombea Chadema visiwani. wakishindwa kufanya hivyo maana yake bado ni wagombea na nihalali kwa wafuasi wao kuwapigia kura. Rekodi itasema vyama hivyo vimepata kura ngapi za wagombea wao katika uchaguzi.
Watamkumbuka sana Edo, ruzuku hawatafikisha hata milioni moja!
Kwani Lisu ni mahakama? Ataingilia uhuru wa mahakama?
Kama mnajua hivyo acheni kulaumu pambaneni na udikteta wenu kwanza halafu mje kupambana na wa ccmHivi wakati anapitisha wale wagombea walinunuliwa kutoka upinzani kugombea tena kuna vikao vilikuwa vinafanyika
Endelea kujifarijiUpinzani bado sana, labda tuamke wenyewe sisi wananchi na kuleta mabadiliko bila kujali vyama vya hawa wasaka vyeo na wababaishaji
Hahaha mada ndio nini dada wa kuvua?Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Upinzani hawajipanga kabisa yaani. Hivi Membe so alipitishwa kwenye vikao rasmi vya chama? Sasa inakuwaje analazimishwa kumsapoti mgombea urais wa chama kingine? Mambo ya ajabu kabisa haya.
Hahaha waliisha liona jinga lao.Aliambiwa atapewa wabunge 20
Wanaitana wakisha toa comment mbili wameishiwa maneno.Tatizo la UVCCM wanajadiliana kwanza kwenye magroup za whatsapp na wanapanga kuja kufungua uzi humu ili wasapotiane!
SawaKwahiyo ni wengi kumbe ambao humfahamu kuwa serikali inaweza kufuta kesi ikiwa mahakamani kwa kusema haina maslahi na hiyo kesi mahakama ikafuta bila kuhoji chochote
Upinzani bado sana, labda tuamke wenyewe sisi wananchi na kuleta mabadiliko bila kujali vyama vya hawa wasaka vyeo na wababaishaji
Umegonga nyundo utosini
Naona mmewekewa bando kuja kumwaga utopolo wenu humu Lissu anawachoma kama mkuki na baado atawakimbiza mchakamchakahawa ndio wanamlaumu Magufuli kwa udikteta lakini kna tofauti kubwa Magufuli anafanya hivyo kupitia vikao halali lakini wao hata vikao halali hawavieshimu bali wanatoa matamko jukwaani.
Ni kama walivyofanya maamuzi ya kumteua Lowassa waliogopa wakiweka ushindani asingepitishwa, kwa siasa za namna hii ccm wataendelea kubaki madarakani muda mrefu.