Uchaguzi 2020 Kwa vituko vya Seif na CHADEMA, hakika upinzani bado sana Tanzania

ACT na CHADEMA wanavyojichanganya ndio nafasi ya CCM kutoboa katikati.

Au unataka kusema unamapenzi Sana kwa Chadema na ACT kuliko CCM?
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Shekhe Ponda kasema kuwa Membe atulie atapangiwa kazi katika siku mia za Lissu madarakani.

Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap.
Yaani angekuwa Yesu halafu wewe ndio mfuasi wake kwa akili zako angeomba ugeuzwe mkate ili watu washibe. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kumnukuu Sheikh wangu imekuwa Nongwa?
Tulieni Sindano ya HAKI iwaingie na sio hiyo Sindano yenu ya Sumu.
 
Shekhe Ponda kasema kuwa Membe atulie atapangiwa kazi katika siku mia za Lissu madarakani.

Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap.
Ghafla ponda nae kawa kiongozi wa chadema😀😀😀.. Mkiambiwa mna siasa za fata upepo mnatushtaki kwa Amsterdam
 
Kama kweli ww ni mjuzi wa siasa za bongo sion kama Kuna shida yoyote hapo

Nilichogundua ni kuwa, kuchukua mtu kutoka CCM na kumleta upinzani basi ni tatizo

Membe Alitakiwa kwa Sasa amuunge mkono Lisu coz yuko kwenye peak zaidi yake

But Membe Sasa anataka kuleta mambo ya kugawa kura na Kucheza na mind za watu
Membe kala mchongo na polepole wapige pesa za kuvuruga chadema na ACT ni fursa kwa wajanja wachache huko CCM
 
Mnajifariji tu, subirini tarehe 28, ndio mtajua kama hamjui.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Hawa ndio wanamlaumu Magufuli kwa udikteta lakini kna tofauti kubwa Magufuli anafanya hivyo kupitia vikao halali lakini wao hata vikao halali hawavieshimu bali wanatoa matamko jukwaani.

Ni kama walivyofanya maamuzi ya kumteua Lowassa waliogopa wakiweka ushindani asingepitishwa, kwa siasa za namna hii ccm wataendelea kubaki madarakani muda mrefu.
 
Attachments

  • IMG-20201021-WA0027.jpg
    IMG-20201021-WA0027.jpg
    46.7 KB · Views: 2
Kwani Lisu ni mahakama? Ataingilia uhuru wa mahakama?
Hakuna Mahakama Tanzania,kesi za hao wanaoitwa magaidi hazijapata hukumu mpaka huo Leo..

Aibu kubwa Kwa Sheria na Mahakama za Tanzania..
 
Ndugu zangu,

Ukisikiliza yanayoendelea ndani ya ACT na CHADEMA kuhusu suala la Wagombea urais Muungano na Zanzibar utacheka sana na utagundua dhahiri kuwa hakuna upinzani Tanzania bali wasaka tonge.

Mwanzoni ACT wamemshobokea Membe toka akiwa CCM. Baada ya hapo wakamdhamini NEC awe mgombea wao kwa sera ya 'Kazi na Bata'

Upande wa pili, CHADEMA wao wamemteua mgombea urais Zanzibar na kumdhamini ZEC. Anakuja Tundu ambaye alishiriki vikao halali kikatiba na kutangaza kutomtambua mgombea wa urais CHADEMA kwa upande wa Zanzibar.

Hizi ni akili za mbayuwayu huwezi kumkana mgombea aliyekwiteuliwa na NEC kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano au aliyeteuliwa na ZEC kugombea urais wa Zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ile ya Zanzibar.

Waswahili tuna usemi wetu 'Ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa'

Tarehe 28.10.2020 kipigo kipo pale pale.
Mmejisahau sana nyijyinmakoko

Wabongo ujinga, elimu duni,upumbavu na uwoga ndio nguvu ya wabongo
 
Maumivu uliyonayo yanaonekana kupitia maneno haya. Wewe endelea kuwaunga mkono wapinzani bora wanaounga mkono CCM, Mrema, Bwana Mapesa na Magare Shibuda.
 
Ila humu kuna vichwa panzi!!? yaani kabisa mtu anajitutumua kwamba lisu atashinda uraisi,daah!
 
Back
Top Bottom