Ata unachokiongea hukijui kwanini kama una maneno mazuri hutoi kwa chama chako ccm? Huoni vile vitambulisho vyenu feki vimempaisha Tundu Lissu? Uwanja wa ndege chato, ndege mulizonunua mbona hamusimami kwenye majukwaa mukatangaza hizo ndege zenu mumeufyata ata kampeni zimekushindeni.
Mulisema upinzani mara hii hautakuwa na hoja kwa vile mumeleta maendeleo sasa mbona mnapiga magoti kuomba kura? mbona mulitia mpira kwapani mukamfungia Tundu Lissu siku 7 na maalim seif siku 5? kwanini muliengua wagombea kibao wa upinzani tu?
Iyo upinzani kushirikiana na kumuacha mgombea ambaye hana mvuto japo kateuliwa na NECT wewe presha ni ya nini na mgombea wako wa ccm unaye? Membe hakushobokewa alifukuzwa ccm akaomba unachama ACT ata wewe ungekaribishwa, Membe kuja ACT alielezwa kabla asije ACT kwa kusaka urais bali akubaliane na hali halisi itakavyokuwa ili kukabiliana na chama tawala kuondoka madarakani, na kuna siku yeye mwenye alikiri kama chama kitampigia Lissu na yeye ataunga mkono.
Sasa ata akigangamaa anagombea urais ni bure tu, kauli za viongozi wakuu zimetoka wampigie Lissu yeye ataishia ukoko kwenu tu.