Kuna wakati nilikuwa nakudhania u mahiri katika siasa za Tanzania hasa ulipo ucheza vizuri mchezo wa kufukuzwa Bavicha hadi kuibukia na kanafasi ndani ya CCM.
Lakini nimegundua u mtupu sana sana katika michezo hii ya siasa, unababia babia tu.
Katika mchezo huu wa ACT na Chadema waliopigwa chenga Kali ya mwili toka mwanzo ni CCM, NEC na msajili wa vyama.
Nimeamini zile safari za Zitto kwenda Ubeligiji na Ujeremani na wakawa wanakutana na Lissu pia ingizo la Membe kachero yote yalikuwa mahesabu.
Kauli za Maalim Leo na Membe Jana zote ni confusing tactics kwa adui zao, subiri tamko la 27/10 ndio ccm itakapo shangazwa kama ilivyo shangazwa na kipigo cha Ponda kuingia mazima wiki ya mwisho ya kampeni.
Hangaikeni tuu, magu ana pension nzuri tuu kama ataheshimu sheria ila nyie lazima mtafute kazi nyingine