Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 797
- 2,233
Tunakumbushana.
Uchaguzi wa viongozi wa kanisa utakuwa mwaka huu katika GC Session itakayoketi pale America’s Center Convention Complex, St. Louis, Missouri, USA, session ambayo itarudi katika hali yake ya kawaida ya kuketi kwa siku kumi (10).
Ikumbukwe GC Session ya mara ya mwisho iliketi kwa siku sita pekee (6-11/6/2022). Na sababu ya kufanyika kwa siku sita pekee ni kutokana na changamoto ya Covid-19.
Katika hali ya kawaida, GC Session of SDA church huketi kila baada ya miaka 5 kwa lengo la kujadili katiba ya kanisa (kama kuna cha kuongeza) na kuchagua viongozi wa kanisa.
Kutokea 2022 ni miaka mitatu pekee, sababu ni kwa vile session hiyo ya 2022 initially ilipashwa kuketi 25/6 - 4/7/2020, iliahirishwa kwa changamoto ya covid-19 maana nchi ya Marekani ilikuwa imezuia safari za kuingia nchini kwake hivyo delegates wasingeweza kufika. Session ya 2020 ilipangwa ifanyike 20 - 25/5/2021 lakini nchini Marekani bado kulikuwa na zuio la safari na ndipo ikapangwa kuketi 6 - 11/6/2022.
Kilichofanyika, karibu viongozi wote waliokuwepo kabla ya session hiyo, walirudishwa uongozini na kufanya wengine kutumikia nafasi zao kwa miaka 15 mtawalia (tokea 2010).
Hivyo, uwapo kwenye maombi yako, usisahau kuombea uchaguzi huo na yote yatakayoendelea katika session hiyo.
Sabato Njema.