Kwa Waalimu wote

Kwa Waalimu wote

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
KWA WALIMU WOTE

Sikilizeni wimbo huu:

Nilipokuwa mtoto niliitwa Chacha

Kwa matamshi yangu ya sasa

Nilipokuwa kijana niliitwa Chaupele

Nilipokuwa mtu mzima niliitwa Manywele Nilipokuwa mwalimu nikaitwa Bure.

Huu utakuwa wimbo wako
Utakapostaafu urudipo nyumbani Umelewa kangara na nyayo zako
Zikishidwa kulenga njia nyembamba vijijini

Utakuwa kichekesho kwa watoto watakao kuita Ticha popote upitapo
Kumbuka mwalimu utakapostaafu.
Mijusi watataga mayai ndani ya viatu Vyako vilivyokwisha visigino

Na ndani ya sidiria chakavu Zilizoshikizwa kamba kwa pini. Mende watazaliana ndani ya chupa tupu
Za marashi na za bia
Na manyigu yatajenga ndani ya kofia Zilizosahaulika kutani.

Utakapokufa nge watazaliana
Chini ya jiwe juu ya kaburi lako, Na mlevi fulani akipita atapenga

Na kupangusa vidole kwenye jiwe pweke. Mwanzo na mwisho wako ndio huo

E. Kezilahabi
 
Huu upuuzi umeutoa wapi?

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Walim na wazee wetu ,walieshimika sana , ila wa kizazi ichi , uchawa na kujipendekeza kwa mabosi wao ndo kazi, woga ,kutojiamini na kusimamia kile wanakiamini , kuendekeza vitu vidovidogo, ndo janga kuu la walim wa sasa
 
Back
Top Bottom