Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hii barabara si Kenya angalia uelekeo wa gari kulia! Fool usipende kubishana na vitu vya watu!Thika Highway inatoka Nairobi jijini hadi Thika Town, hiyo ni distance ya kilomita 50. Kwenye hiyo highway ya Thika kuna Bypass 3 ambazo zinaunganisha barabara zingine moja kwa moja kwa Thika Highway, bila kupitia jijini Nairobi. Kuna Northern Bypass inaunganisha highway ya Thika na Limuru. Eastern Bypass, Thika na Mombasa Highway. Western Bypass- Ruiru. Kama hivi.Naton Jr tuoneshe vitu kama hivi.![]()