Kwa Wabongo ambao hawajawahi kuona Thika Road, tazameni hii video. Kisha mkome kupinga kuwa Kenya ina miundombinu nzuri kushinda Tanzania

Kwa Wabongo ambao hawajawahi kuona Thika Road, tazameni hii video. Kisha mkome kupinga kuwa Kenya ina miundombinu nzuri kushinda Tanzania

Thika Highway inatoka Nairobi jijini hadi Thika Town, hiyo ni distance ya kilomita 50. Kwenye hiyo highway ya Thika kuna Bypass 3 ambazo zinaunganisha barabara zingine moja kwa moja kwa Thika Highway, bila kupitia jijini Nairobi. Kuna Northern Bypass inaunganisha highway ya Thika na Limuru. Eastern Bypass, Thika na Mombasa Highway. Western Bypass- Ruiru. Kama hivi.
images
Naton Jr tuoneshe vitu kama hivi.
Hii barabara si Kenya angalia uelekeo wa gari kulia! Fool usipende kubishana na vitu vya watu!
 
Afrika huwa tunakwama wapi, yaani daraja kwenye barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa Dodoma na Dar linasombwa na mafuriko na kuishia kutotumika siku inaisha, juzi hapa tuliona reli yote imesombwa....

Infrastructure yao ndio mbovu. Ile daraja ya reli ilikuwa nyepesi kama karatasi, ilisombwa na maji. Leo hii barabara pia imesombwa na maji. Hawa watu wasipowacha kujenga class C infrastructure wataumia sana.
 
Afrika huwa tunakwama wapi, yaani daraja kwenye barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa Dodoma na Dar linasombwa na mafuriko na kuishia kutotumika siku inaisha, juzi hapa tuliona reli yote imesombwa....

Kweli nyani haoni kundule. Kila siku madaraja na majengo yanabomoka huko Kunyaland. Kwani na hili daraja nalo ni la Tanzania?
👇👇

daraja.jpg

Au haya majengo ni ya Tanzania?

👇👇
jengo kenya 2.jpg

majengo.jpg
 
Linganisha barabara yenu inayotegemewa na mataifa tisa ikiwemo mji mkuu wa Dodoma, unalinganisha na daraja la kijijini kwetu...huna aibu kaka.
Halafu ulinganishe na mji wenu wa Nairobi, lango kuu la kuingilia Afrika Mashariki ambako kila siku majengo yaliyojengwa chini ya kiwango yanaporomoka.
 
Back
Top Bottom