Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Mkuu areta!!!!Hivi kwanini sisi wacheza draft tunaona muda unaenda speed kuliko watu wengine?
Hiyo inamisemo MingiNaona umeniangukia
Bapo popoma kabahatisha goal
swali zuri sana chess wanacheza wenye akili tu strategic game ambayo I love chessHivi Bongo kuna vijiwe vya Chess?
Acha madharau Wewe.. Hakuna mchezo usiotumia akili... hata mdako Kama haujui projectile, motion, na gravitational force hauwezi kucheza... usiwaone wale wadada chini Kuna mawe/kete ndani ya kaduara au kishimo arushe juu apige hesabu ya MUDA wa jiwe /ndimu kukaa juu mpaka kurudi na muda huohuo atoe hizo kete/mawe na kuzirudisha... Jaribu kuheshimu michezo. Hakuna mchezo mwepesi.swali zuri sana chess wanacheza wenye akili tu strategic game ambayo I love chess
Uswahilini havipo, labda kwenye Casino za kwenye mahoteli.Hivi Bongo kuna vijiwe vya Chess?
sio kwamba nadharau draft ila kuna tofauti sana mkuu kati ya chess na draft(cheeker) chess is a real life situation ila draft just burudani. chess unaeeza ukacheza game moja hata siku mbili. jaribu uone na majasusi ,master minds ,hata watawala wote wanacheza chess.Acha madharau Wewe.. Hakuna mchezo usiotumia akili... hata mdako Kama haujui projectile, motion, na gravitational force hauwezi kucheza... usiwaone wale wadada chini Kuna mawe/kete ndani ya kaduara au kishimo arushe juu apige hesabu ya MUDA wa jiwe /ndimu kukaa juu mpaka kurudi na muda huohuo atoe hizo kete/mawe na kuzirudisha... Jaribu kuheshimu michezo. Hakuna mchezo mwepesi.
Mchezo unafika wiki hio burudani mateso?sio kwamba nadharau draft ila kuna tofauti sana mkuu kati ya chess na draft(cheeker) chess is a real life situation ila draft just burudani. chess unaeeza ukacheza game moja hata siku mbili. jaribu uone na majasusi ,master minds ,hata watawala wote wanacheza chess.
naujua... Na hata draft ndio inatumika kwenye War strategies pia.sio kwamba nadharau draft ila kuna tofauti sana mkuu kati ya chess na draft(cheeker) chess is a real life situation ila draft just burudani. chess unaeeza ukacheza game moja hata siku mbili. jaribu uone na majasusi ,master minds ,hata watawala wote wanacheza chess.
umenikumbusha moja "Leo utasema tu kwanini kuku ana kunywa maji lakini hakojoi, fulafula Wewe "Leo utanieleza kwann bata huwa anaharisha maisha yake yote
Hapa ushampiga mpinzani wako goli 4 na bado mchezo wa tano unaendelea
Mkuu uliwahi kuwaona watu kama akina mangwelele akina amani siri na watu wengi watu wanalicheza lile dude mpaka we unaeangalia unapagawaMchezo wa chess n moja kat ya strategies ya combat formation, majasus na majemedary weng wanapenda kuucheza huo mchezo kwa mbinu flan iv as unapanga majeshi
Likewise draft n new version ya chess ndio maana mchezo wa draft wapizan wakiwa hawana makosa unamwagika sale
Lakn draft lipo so technically bila kusahau muda, yan mcheze draft zipite dakka 15 ayo matus yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mangwelele ana hatari yakeMkuu uliwahi kuwaona watu kama akina mangwelele akina amani siri na watu wengi watu wanalicheza lile dude mpaka we unaeangalia unapagawa