Kwa wacheza Drafti wezangu!Tupia Jargon yoyote uliowahi kuisikia

Kwa wacheza Drafti wezangu!Tupia Jargon yoyote uliowahi kuisikia

"somo la huruma nilipata 0"
hapo mpinzani anakua kalisha kete kizembe na bure unaamua kumpiga ivyoivyo

"nilienda kucheza hii kitu kisarawe huko, nilitoa kipigo takatifu nikapewa mke.
mpinzani kabanwa, unamchezea makidamakida tu
 
"Ngoja niingie maabara kwa uchunguzi zaidi"
Hapo mtu kabanwa hapumui anatafuta kete ya kuruka majoka

"Kaza roho mganga Mungu , utapona tu ujinga wako "
Hapo mtu keshapigwa two straight

"Tulia kuwa mvumilivu Kama nywele za matakoni zipo kwenye shida Lakini zinakua tu "
Hapo kilaza anaambiwa uwezo wake hautoshi kwenye kijiwe hichi ila ipo siku atajua tu

"Ngoja nikupige zile za kimaster wenye ndevu nyeupe ndefu huuuhaaaa"
Hapo Jua mtu kapigwa bonge LA cross king.
 
swali zuri sana chess wanacheza wenye akili tu strategic game ambayo I love chess
Acha madharau Wewe.. Hakuna mchezo usiotumia akili... hata mdako Kama haujui projectile, motion, na gravitational force hauwezi kucheza... usiwaone wale wadada chini Kuna mawe/kete ndani ya kaduara au kishimo arushe juu apige hesabu ya MUDA wa jiwe /ndimu kukaa juu mpaka kurudi na muda huohuo atoe hizo kete/mawe na kuzirudisha... Jaribu kuheshimu michezo. Hakuna mchezo mwepesi.
 
Hivi Bongo kuna vijiwe vya Chess?
Uswahilini havipo, labda kwenye Casino za kwenye mahoteli.
Tatizo la mchezo wa Chess ni kuwa hauishi haraka.
Unaweza kuchezwa siku mbili wiki na hata mwezi na bado usiishe.
Ndio maana katika vijiwe vya mtaani hawapendi kuucheza.
 
Acha madharau Wewe.. Hakuna mchezo usiotumia akili... hata mdako Kama haujui projectile, motion, na gravitational force hauwezi kucheza... usiwaone wale wadada chini Kuna mawe/kete ndani ya kaduara au kishimo arushe juu apige hesabu ya MUDA wa jiwe /ndimu kukaa juu mpaka kurudi na muda huohuo atoe hizo kete/mawe na kuzirudisha... Jaribu kuheshimu michezo. Hakuna mchezo mwepesi.
sio kwamba nadharau draft ila kuna tofauti sana mkuu kati ya chess na draft(cheeker) chess is a real life situation ila draft just burudani. chess unaeeza ukacheza game moja hata siku mbili. jaribu uone na majasusi ,master minds ,hata watawala wote wanacheza chess.
 
Mchezo unafika wiki hio burudani mateso?
Halafu Drafti uwapate mafundi ndo utajua ugumu Wake
Algorithm itakayotumika hapo si ya kawaida

Chess nini bhana
 
Mchezo wa chess n moja kat ya strategies ya combat formation, majasus na majemedary weng wanapenda kuucheza huo mchezo kwa mbinu flan iv as unapanga majeshi
Likewise draft n new version ya chess ndio maana mchezo wa draft wapizan wakiwa hawana makosa unamwagika sale
Lakn draft lipo so technically bila kusahau muda, yan mcheze draft zipite dakka 15 ayo matus yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
sio kwamba nadharau draft ila kuna tofauti sana mkuu kati ya chess na draft(cheeker) chess is a real life situation ila draft just burudani. chess unaeeza ukacheza game moja hata siku mbili. jaribu uone na majasusi ,master minds ,hata watawala wote wanacheza chess.
naujua... Na hata draft ndio inatumika kwenye War strategies pia.
Leo utanieleza kwann bata huwa anaharisha maisha yake yote
Hapa ushampiga mpinzani wako goli 4 na bado mchezo wa tano unaendelea
umenikumbusha moja "Leo utasema tu kwanini kuku ana kunywa maji lakini hakojoi, fulafula Wewe "
 
Mchezo wa chess n moja kat ya strategies ya combat formation, majasus na majemedary weng wanapenda kuucheza huo mchezo kwa mbinu flan iv as unapanga majeshi
Likewise draft n new version ya chess ndio maana mchezo wa draft wapizan wakiwa hawana makosa unamwagika sale
Lakn draft lipo so technically bila kusahau muda, yan mcheze draft zipite dakka 15 ayo matus yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu uliwahi kuwaona watu kama akina mangwelele akina amani siri na watu wengi watu wanalicheza lile dude mpaka we unaeangalia unapagawa
 
1.NAKUWEKEA MBOGOLO... hiyo ni kete inayozuia kete tatu hususani jirani na kuelekea King.
2.NIMEOKOTA JEMBE NA MPINI... hapo umekumbana na mchezaji mgeni harafu kibonde
3.MGONJWA HAWEZI KUFA BILA KUNYWA UJI
...hapo mpinzani wako unampa kete anakula harafu unamaliza mchezo.
4.NACHEZA NA VICOBA ACHA NIWAKOPESHE. ..hapo ni pale unapopambana kumfunga mpinzani mwenye wapambe wengi wanaogongea kete kali.
5. MALI YA SAID BINTI HUSSEIN
...hapo ujue kuna kete unatakiwa kula mashabiki wanakukumbusha uangalie vizuri ili ule.
Mnaoshinda na wake zenu kila siku hamtaki kujumuika poleni, ndiyo maana mkistaafu mwezi mmoja tu mnapalalaizi
 
Back
Top Bottom