Kwa wacheza Drafti wezangu!Tupia Jargon yoyote uliowahi kuisikia

me uo mchezo ulinishindaga kwa kweli hadi wale mademu wa kwenye computer wananifungaga[emoji16]
 
Draft raha sana...
Kuna kopi ukicheza hufungwi
1-Samba
2-Bana Mbili
3-Sumu ya pandu
4-Mnara mrefu
Hahahahahaa
chupi upande
banana chop
Samba INA pati one na two
Alafu kuna samba kompyuta
Kata Mara mbili
Aise kuna as tunawekaweka ila kuna watu wanacheza
 
"naona unajaribu kuzuia mafuriko na makalio" apo mpinzani amezidiwa anatafta sare..."unatupa mtoto sababu ya upele"apo mpinzani anatoa kete bure ili apate ahueni...." ukitoa droo najing'ata mgongoni' apo unafunga kilaza mwanzo mwisho
 
Haya na wewe panda kitandani.
Hapo unamwambia mtu aliyekua anaonyesha kete akiwa nje sasa zamu yake ya kuingia imefika
Haya na wewe panda kitandani.
Hapo unamwambia mtu aliyekua anaonyesha kete akiwa nje sasa zamu yake ya kuingia imefika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"Jamani natafutwa" hapa mpinzani kila kete anayocheza ikiwa nzr
 
Sehemu za kucheza draft zimejaa wachawi wazee wapwani
Sio kweli draft kila sehem nayoenda hapa tanzania naikuta... Moshi niliikuta, mwanza kigoma ,dar , tabora, mbeya n.k... Drft ni kila kitu kwangu
 
Zamu yako inawahi kufika kila mda ...hapo anaambiwa aliyezidiwa kimchezo
 
Hahahahahaa
chupi upande
banana chop
Samba INA pati one na two
Alafu kuna samba kompyuta
Kata Mara mbili
Aise kuna as tunawekaweka ila kuna watu wanacheza
Wenyewe wanasema unafuata vyumba tu... 😂😂
 
Yaap nimeupenda uzii huu hatari vip kuhusu wataalamu au msnguli wa mchezo wa draft mi nawakubali hawa
1:mangwelele huyu fundi anapatikana sana vijiwe vya kizuiani na zakhem
2:Amani siri jamaa naye huyu anajua balaa
3:
2:
Taja nawe mafundi unao wakubali...
 
[emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo unakuta unajibiwa ulipewa mke lkn chongo
 
Nilishapewaga mke kwa ajili ya hili dudu (DRAFT) sema alinishinda matumizi tu

Hapa unaongea ukiwa ushamuwahi mwenzako king
Apo unakuta unajibiwa ulipewa mke lkn chongo
 
Utakufa kwa joto.
Apo umembana mpinzani wako nahali imeshaanza kuwa mbaya
 
Jamani hebu nipeni triki za msingi za draft, mimi huwa nachemka.
 
kwani nafungwa jela umu?

apo ushakula suti ya maana

nb: suti ni kichapo cha 3-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…