Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Sio kila anaetaka mwonekano wa tofauti ni kwa ajili ya mwanaume
Nami nimekubaliana nawe kwamba wengi wenu mnajirembesha kuwakoga wanawake wenzetu ili mnyakue mabwana/waume zao.

Lakini mnaishia kutumika tu. Hivyo mada yako isiwashawishi kuelekea huko. Mnaojitambua muwaelimishe wanawake wenzenu wasiojali utu wao.

KWANZA UTU
 
Aiseh nimekupenda bureeee. Lait km wanawake wote wangekuwa na hakili km hii kesi za kuvunjika ndoa zisingelikuwepo[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Siamini kama kuna hivyo vitu mpaka nije kuviona na kugusa.
kugusa [emoji118] [emoji15] [emoji15] labda 7bu ni mama kubwa ... tukigusa akina sie c tutatobolewa macho [emoji1] [emoji1]
 
Nimecheka sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…