Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Sio kila anaetaka mwonekano wa tofauti ni kwa ajili ya mwanaume
Nami nimekubaliana nawe kwamba wengi wenu mnajirembesha kuwakoga wanawake wenzetu ili mnyakue mabwana/waume zao.

Lakini mnaishia kutumika tu. Hivyo mada yako isiwashawishi kuelekea huko. Mnaojitambua muwaelimishe wanawake wenzenu wasiojali utu wao.

KWANZA UTU
 
Wana kazi wanaotafuta kuwapendeza watu.
Hivi, kujibebesha vitu vyote hvo unatafuta nn na ili iweje? Kama ni kupendwa unataka wangapi wawe wako na ili iweje???
Mwanamke n kujiamini na kujikubali, kuna anayekupenda ulivyo hivyo.
Au vipi jaman?????????????????
Aiseh nimekupenda bureeee. Lait km wanawake wote wangekuwa na hakili km hii kesi za kuvunjika ndoa zisingelikuwepo[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Hizo sponge zipo, mdada mwingine hapa juzi kanionesha duh tight lina mahips teh nikamuuliza kwahiyo ukifika kwa shem lake unasasambuaje, akasema bwana ake hajui hayo mambo anajua ni tight tu.....asee wanaume wanadorishiwa misamaki wakifika geto wanalishwa vidagaa
Nimecheka sana!
 
Back
Top Bottom