mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Nami nimekubaliana nawe kwamba wengi wenu mnajirembesha kuwakoga wanawake wenzetu ili mnyakue mabwana/waume zao.Sio kila anaetaka mwonekano wa tofauti ni kwa ajili ya mwanaume
Lakini mnaishia kutumika tu. Hivyo mada yako isiwashawishi kuelekea huko. Mnaojitambua muwaelimishe wanawake wenzenu wasiojali utu wao.
KWANZA UTU