Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Me napenda mwanamke mwenye msambwanda orijino
 
Cha muhimu ni kuwa na msimamo tu, ukitaka kufuata kila wanachotaka wanaume mwisho wa siku utajikuta umekuwa kikatoon.
Niko black mwembamba, nimeridhika na rangi yangu na ka shepu kangu though sio ka kutisha sana.
Ebu ni Pm tukutane nikaone kashape kako,maana nyie weus mnakuaga watamu kweli
 
ANYTHING...KUBOOST CONFIDENCE..............
 
[emoji28][emoji28][emoji28] imebidi nicheke kwanza maana last Friday nilimsupraiz dada mmoja hakutegemea kama tutaishia lodge alikua amejivalia hayo madude yao mi nikaona tako si ndo hili leo simwachi....kitimutimu kilikua ndani ya florida executive kariakoo hapo, kila nikipeleka mkono nishike tako naona mkono unashikwa usiende kokote baadae nikagundua kitu coz nilibahatika kugusa maeneo ya nyonga nakuona kuna famba somewhere na alikua ameshakosa amani. .....nilichofanya nikamwambia sasa sikiliza chukua Taulo nenda bafuni ukaoge then come [emoji28][emoji28] arikurupuka maana hakutegemea nami nilijua nikimuonyesha kwamba nimegundua ntanyimwa papuchi bure......ila niwahakikishie tu ndugu zangu kwamba mambo yalienda vizuri.

Ushauri wangu tu waachane na hayo mambo koz kiukweli yanafanya tuwadharau baada ya kuwagundua
 
Joyce wowowo kitambo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SDC10889.JPG
 
Taabu ni pale utakapovaa hiyo inayoshauriwa ili kuubinua msambwanda, harafu uvae ''kigauni cha mpira'' na wewe ni mweusi tii kumzidi yule jamaa wa Ze Comedy.
 
Watu watakula kama mchwa....
Kuna haya mazoezi tu yanaitwa sijui squat, inasemekana yanaongeza makalio basi ni shida wadada wanakua kama chura huko gym, misambwanda inatesa wanawake
Ha ha ha ha hatari sana ndio maana insta naona squat posts zimezidi kumbe watu wanatengeneza pistol...sasa mimi ninayejipende viportable na vichuguu vya kiasi si ntakosa vitu vya kuanua siku za usoni...ila niliwahi siki wakitanuliwa marinda vichuguu vinaongezeka faster tu,kwa nini wasitumie hii njia
 
Leo nina safari ya kariakoo naenda kutafuta kengine haka niliko nako kameanza kuchakaa.Mie nitaendelea tu kuvaa labda kama wanaume waache kuyapenda
 
Back
Top Bottom