Good morning jf.....
Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao wanatamani kupainua inua kuvutia utalii wa ndani na wa nje.
Leo nimejisikia tu kuwashauri watumiaji wa hii kitu
View attachment 428643
Sponge au vigodoro, asee hii kitu haiwapendezi hata kidogo, kuna dada majuzi kwenye sherehe alikuwa kavaa kigodoro alikua ni kituko yani nadhani akili yake ilikua inamwambia huku nyuma ana kakitonga flani hivi ila mmmh yani kigauni cha mpira anaonekana kabisa kavaa sponge vitako vimekaa vibaya
Mwingine nae mara upande moja liko juu upande mwingine lipo chini.
Nawashauri kwanini msitumie hii
View attachment 428648
Nahisi ukiivaa unakua comfortable, tako linakaa vizuri na linanyanyuliwa tu hakutakua na moja juu jingine chini.
Ni hivo tu.