Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Hizo sponge zipo, mdada mwingine hapa juzi kanionesha duh tight lina mahips teh nikamuuliza kwahiyo ukifika kwa shem lake unasasambuaje, akasema bwana ake hajui hayo mambo anajua ni tight tu.....asee wanaume wanadorishiwa misamaki wakifika geto wanalishwa vidagaa
GOD FORBID...AISEEEE.
UNITIE NJAA YA SAMAKI SATO MKUBWA KILO 1.5 ILE NAINGIA KULA MENU NAKUTANA NA DAGAAA....NAWEZA KUUWA MTU AISEE.
KWANZA LAZIMA DUSHE LILALE KWA MSTUKO NITAOKUTANA NAO.....YANI KAMA UMENUSURIKA KUGONGWA NA TRENI.
BIA NA MISOSI YOTE ULIYOPIGA LAZIMA UITAPIKE...NATAKAGA UJINGA MIE....
 
A ni tight yenye kisponge ndani.
Ikivaliwa haikai vizuri, sponge inaweza kukaa upande hivo tako moja liwe juu, jingine chini, au sponge zikajikusanya kifupi haipendezi

B. Ni tight yenye matundu kama unavoiona inaitwa butty lifter nadhani.
Yenyewe haiongezi matako ila inafanya yawe na mwonekano mzuri make yanapigwa tu jeki
KISWAHILI INGEITWA "SIDIRIA YA MAKALIO|"

SWALI LA KIZUSHI KWA MLETA UZI.....WEWE UNALO KALIO AU NDIO MTUMIAJI WA HIZO KALIO BUSTERS?
 
Sijipi moyo ila nnajikubali, Wema ana msambwanda ila mpaka Leo hajaigusa ndoa hata ya Majaribio kama sisi wenzie wenye flat image
Mbona alishawahi kuolewa na jumbe usisahau na kwenye bongomovie anaolewaga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
GOD FORBID...AISEEEE.
UNITIE NJAA YA SAMAKI SATO MKUBWA KILO 1.5 ILE NAINGIA KULA MENU NAKUTANA NA DAGAAA....NAWEZA KUUWA MTU AISEE.
KWANZA LAZIMA DUSHE LILALE KWA MSTUKO NITAOKUTANA NAO.....YANI KAMA UMENUSURIKA KUGONGWA NA TRENI.
BIA NA MISOSI YOTE ULIYOPIGA LAZIMA UITAPIKE...NATAKAGA UJINGA MIE....
Wapi weweeee wanaume wengi tu mnafanyiwa hivi na wala hamgundui
 
A ni tight yenye kisponge ndani.
Ikivaliwa haikai vizuri, sponge inaweza kukaa upande hivo tako moja liwe juu, jingine chini, au sponge zikajikusanya kifupi haipendezi

B. Ni tight yenye matundu kama unavoiona inaitwa butty lifter nadhani.
Yenyewe haiongezi matako ila inafanya yawe na mwonekano mzuri make yanapigwa tu jeki
We mwalimu wewe....

Naenda kusema kwa mama leo umeongelea matak.o
 
hahah mbona mie nawapaga ushauri tu wateja wangu..!! sema wengine hawawapi..
mlete tu huyo mteja kwa raha zake nimuhudumie,, afu wateja wengine washani-PM wanataka mzigo hahaha
Ndo unipe hela ya castle si unaona nmekutafutia na wateja ha ha ha
 
Back
Top Bottom