Curtis the Second
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 245
- 216
Ha ha ha ha ukimwaga tu,mwendo kasi wa pm za rai utachoka mwenyeweha haha tuishie hapa nisije mwaga kuku kwenye mchele mwingi hautanoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ukimwaga tu,mwendo kasi wa pm za rai utachoka mwenyeweha haha tuishie hapa nisije mwaga kuku kwenye mchele mwingi hautanoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi sasa nataka nibadilishe dress design kwa kweli sababu na sehemu inavuta nataka niiweke hadharanis sasa hahahaha
nimecheka sana dadasupu utumbo ndiyo shida yao hiyo.. me kwa kweli kaflat kangu natembea kama nasukumwa nipo tu na naringaje ha hahaha
GOD FORBID...AISEEEE.Hizo sponge zipo, mdada mwingine hapa juzi kanionesha duh tight lina mahips teh nikamuuliza kwahiyo ukifika kwa shem lake unasasambuaje, akasema bwana ake hajui hayo mambo anajua ni tight tu.....asee wanaume wanadorishiwa misamaki wakifika geto wanalishwa vidagaa
ha haha sasa nifanyaje lohnimecheka sana dada
KISWAHILI INGEITWA "SIDIRIA YA MAKALIO|"A ni tight yenye kisponge ndani.
Ikivaliwa haikai vizuri, sponge inaweza kukaa upande hivo tako moja liwe juu, jingine chini, au sponge zikajikusanya kifupi haipendezi
B. Ni tight yenye matundu kama unavoiona inaitwa butty lifter nadhani.
Yenyewe haiongezi matako ila inafanya yawe na mwonekano mzuri make yanapigwa tu jeki
Samahani Dada hiyo avatar ndio wewe?Sivai kitu
Sijipi moyo ila nnajikubali, Wema ana msambwanda ila mpaka Leo hajaigusa ndoa hata ya Majaribio kama sisi wenzie wenye flat imagehahahah unajipa moyo
nilimaanisha kuwa kuvaa haya masponchi ni kujipa moyo.............Sijipi moyo ila nnajikubali, Wema ana msambwanda ila mpaka Leo hajaigusa ndoa hata ya Majaribio kama sisi wenzie wenye flat image
Mbona alishawahi kuolewa na jumbe usisahau na kwenye bongomovie anaolewaga[emoji23][emoji23][emoji23]Sijipi moyo ila nnajikubali, Wema ana msambwanda ila mpaka Leo hajaigusa ndoa hata ya Majaribio kama sisi wenzie wenye flat image
Wala, hii hata kwa picha tu unajua tofauti zakeI see una experience ya kutosha sana na wewe unakaa uswazi kama mimi eeh
Wapi weweeee wanaume wengi tu mnafanyiwa hivi na wala hamgunduiGOD FORBID...AISEEEE.
UNITIE NJAA YA SAMAKI SATO MKUBWA KILO 1.5 ILE NAINGIA KULA MENU NAKUTANA NA DAGAAA....NAWEZA KUUWA MTU AISEE.
KWANZA LAZIMA DUSHE LILALE KWA MSTUKO NITAOKUTANA NAO.....YANI KAMA UMENUSURIKA KUGONGWA NA TRENI.
BIA NA MISOSI YOTE ULIYOPIGA LAZIMA UITAPIKE...NATAKAGA UJINGA MIE....
Mie nina "mzigo" sheikhKISWAHILI INGEITWA "SIDIRIA YA MAKALIO|"
SWALI LA KIZUSHI KWA MLETA UZI.....WEWE UNALO KALIO AU NDIO MTUMIAJI WA HIZO KALIO BUSTERS?
We mwalimu wewe....A ni tight yenye kisponge ndani.
Ikivaliwa haikai vizuri, sponge inaweza kukaa upande hivo tako moja liwe juu, jingine chini, au sponge zikajikusanya kifupi haipendezi
B. Ni tight yenye matundu kama unavoiona inaitwa butty lifter nadhani.
Yenyewe haiongezi matako ila inafanya yawe na mwonekano mzuri make yanapigwa tu jeki
Eeeh baba ni mimiSamahani Dada hiyo avatar ndio wewe?
Ndo unipe hela ya castle si unaona nmekutafutia na wateja ha ha hahahah mbona mie nawapaga ushauri tu wateja wangu..!! sema wengine hawawapi..
mlete tu huyo mteja kwa raha zake nimuhudumie,, afu wateja wengine washani-PM wanataka mzigo hahaha
Lakini si yapo kwenye sayansi kimu, na teaching aid nawaoneshaWe mwalimu wewe....
Naenda kusema kwa mama leo umeongelea matak.o
Makalio hayako kwenye silabasi ya sayansi kimu ya form 2BLakini si yapo kwenye sayansi kimu, na teaching aid nawaonesha