Pole jane kumbe huna chura..! Je, kichwani uko vizuri lakini maana kuna wengine tunatafuta chura ya ubungo.Basi unanifaa
Vaa kwa leo uje huku, ila isipendelee inaweza nipa ugonjwa wa moyo.Hiyo inatikisa chura au inafanya chura aonekane? Ningeivaa nione sema sijui ntavaa nikiwa naenda wapi maana
Ha ha a ha ningeshangaa kama niisingekukuta hukuUzuri wa nyau mkia wake.
Cat is not only animal....... There is elephant. There is hippopotamus....
Hiyo inatikisa chura au inafanya chura aonekane? Ningeivaa nione sema sijui ntavaa nikiwa naenda wapi maana
Wew una chura?daa jamani tuacheni tupumue
EwaaaBila kusahau zile za chui chui
Pole sanaMa chura ya nn?? yana kuaga na mabaka mabaka sana hadi kinyaa mala makovu makovu duh. Vitu simple ndo vya ukweli una kigeuza geuza unavyo taka mkuu sipendi machura
Zile za chui chui na punda milia zilikupita pia?Hahahahahaaa.. umenikumbusha hiyo nguo niliiona kwa house girl mmoja nikashangaa mbona hiyo fashion imenipita. Sema alipendeza
HakikaaMchakato wa vazi la taifa ungeanzia kwenye hilo li skate
Za pundamlia lisipoonekana lazima alieKuna zile nyingine za pundamilia..ngoja tuone kama zitakuja hapa
Hao ni washamba na wachafu ushakutana na tako linapakwa mafuta ya mnyonyo wewe?! Tako Rrrrraaaaainnnniii!Ma chura ya nn?? yana kuaga na mabaka mabaka sana hadi kinyaa mala makovu makovu duh. Vitu simple ndo vya ukweli una kigeuza geuza unavyo taka mkuu sipendi machura
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mdada kama umevaa hii sketi na chura,msambwanda, wowowo lako halijatingishika au kuvibrate wakati unatembea, basi sahau kabisa halitakaa litingishike tena maisha.
Tuseme tu wewe ni male mwenzetuView attachment 915611
Ila chura si ipo?sijawahi kuivaaa
Sina maji mkuu. Ntakuwaje na ChuraIla chura si ipo?