Kwa wadada ambao wamevaa aina hii ya sketi na chura haijatikisika

Kwa wadada ambao wamevaa aina hii ya sketi na chura haijatikisika

Hahahahahahah
Mwanawake wenye chura wanajiamini sana na wanajua kuwa na chura ni uzur wa kupata mwanaume yoyote wa kiafrica siyo bongo tu ata nchi za njiran
Mm nimekuwa natoka na wanawake wenye chura tu maishani mwangu bt ivi karibuni nimekuwa na mahusuano na mwanamke hasiye na chura na kujifunza kitu
Mwanamke hasiykuwa machura kwanza wengi wana elimu na wanajiweza kimaisha na hataki kitu chochote kutoka kwako bali ni mapenz ya kweli
Lakin hawa wenye chura wanakutegemea kila kitu ww hata kama anaela anakufanya atm coz wanatongozwa sana ata ww ukizingua kuna rundo la wanaume wanamtogoza kila siku so ww kwake unakuwa na option tu
Bado chura niko nae coz kwny mavitu mh! Ni watamu jamani bt ndio pasua kichwa
Mpaka sasa nashida kuelewa nioe chura au mwembamba
 
Ma chura ya nn?? yana kuaga na mabaka mabaka sana hadi kinyaa mala makovu makovu duh. Vitu simple ndo vya ukweli una kigeuza geuza unavyo taka mkuu sipendi machura
Hao ni washamba na wachafu ushakutana na tako linapakwa mafuta ya mnyonyo wewe?! Tako Rrrrraaaaainnnniii!
 
Acha uongo kwenye kanga moto iliyoloa lazima wezere wezere licheze[emoji23]
 
Back
Top Bottom