Kwa wadada: anakuzushia kutembea nae

Kwa wadada: anakuzushia kutembea nae

mbona hamna kitu?

Kweli wanawake mna kazi!!!
Hili nalo la kumuumiza mtu?
Hujui hii ni teknik ya kukupata? Basi amekaribia kukushika ny.ony.o ivoo.
 
Ufanye nini tena na jamii imesha 'potoka' kuhusu mimi?
Nikifanya chochote dhidi yake nitakua na confirm tu
Bora nikae nae mbali na niendelee na maisha kama kawa
wale wanao penda kufatilia maisha ya watu wataona na kuelewa
kwamba mtu kama mimi singeweza kumpenda mtu kama yeye
Wale wasio fatilia maisha ya watu wouldn't care anyway! so...
 
mwanaume anapokuzushia kutembea na wewe kwa sababu ya uzuri wako,kutoelewana,kutaka kuonekana kijogoo

na jamii ikapotoka kuhusu wewe, ni nini utakachofanya dhidi ya mwanaume huyo?

Una mchunia tu,...Na hilo nalo litapita.!
 
Mbona mimi hadi leo kuna mdada ananizushia katembea na mimi kumbe hata kumangalia sijatamani.

Mie naona hizo ni za wadada kuliko kuwa za manjemba.
 
mbona hamna kitu?

Kweli wanawake mna kazi!!!
Hili nalo la kumuumiza mtu?
Hujui hii ni teknik ya kukupata? Basi amekaribia kukushika ny.ony.o ivoo.

kumbe kutangaza umemtafuna fulani akisikia huo uzushi ndio anajileta
 
si anakufuata kutaka kujua kulikoni.
Kama mko ofisi moja, unakataa kumuona muda wa kazi
unapanga mkutane nje ya ofisi

unampeleka sehemu nzuuri, tulivu.
Una-play victim, huondoi macho yako kato kati ya mboni zake.

Unakuwa calm and collected, na hubwabwaji, unamwacha anafoka hadi povu liishe, ndo unaanza kuongea.

Akifika tu, unamcomplement, refusha kikao hadi kigiza giza.

Lazima akitoka hapo, magoti yamejaa maji.

kumbe kutangaza umemtafuna fulani akisikia huo uzushi ndio anajileta
 
Nikifanya chochote dhidi yake nitakua na confirm tu
Bora nikae nae mbali
na niendelee na maisha kama kawa
wale wanao penda kufatilia maisha ya watu wataona na kuelewa
kwamba mtu kama mimi singeweza kumpenda mtu kama yeye.

Mnaishi mtaa mmoja,au mnafanya kazi taasisi moja na idara zenu zinaingiliana mara kwa mara
au mpo kozi moja chuoni
kwa kuwa mnakutana mara kadhaa,je utam treat normal?
 
si anakufuata kutaka kujua kulikoni.
Kama mko ofisi moja, unakataa kumuona muda wa kazi
unapanga mkutane nje ya ofisi

unampeleka sehemu nzuuri, tulivu.
Una-play victim, huondoi macho yako kato kati ya mboni zake.

Unakuwa calm and collected, na hubwabwaji, unamwacha anafoka hadi povu liishe, ndo unaanza kuongea.

Akifika tu, unamcomplement, refusha kikao hadi kigiza giza.

Lazima akitoka hapo, magoti yamejaa maji.

kwa hiyo kuwa salama ni kumpuuza na kukaa nae mbali kama wengi wanavyoshauri

haya umewafumbua macho mashosti,maana watu wanapenda outing
 
kama hataki kula matapishi yake
bora akapotezea tu.

kwa hiyo kuwa salama ni kumpuuza na kukaa nae mbali kama wengi wanavyoshauri

haya umewafumbua macho mashosti,maana watu wanapenda outing
 
Namuepuka, sitotaka mazoea nae hata ya mbali.
 
Mnaishi mtaa mmoja,au mnafanya kazi taasisi moja na idara zenu zinaingiliana mara kwa mara
au mpo kozi moja chuoni
kwa kuwa mnakutana mara kadhaa,je utam treat normal?
Unajifanya hujaskia hizo rumors. You just become over polite with him,
No unnecessary interractions, keep it to the absolute minimum (tena zihusishe kazi au shule)
Usimuulize chochote, na wala usiwe mkali dhidi yake.
 
hayo mambo yameshanitokea kwa wakaka 3 hivi............
hakuna haja ya kushindana naye.......................
huwa nawafwata then nawaambia ukweli tunaujua mimi na yeye, kwa hiyo haisaidii kusema uongo kwa watu........
maisha yanaendelea
 
dah pole saana
watatu woote wanajisifia kula?
basi we ni kifaa aisee...lol

na sisi ambao hukataa hata kama ni kwli umekula mzigo
tunatafsiriwa vipi?
 
dah pole saana
watatu woote wanajisifia kula?
basi we ni kifaa aisee...lol

na sisi ambao hukataa hata kama ni kwli umekula mzigo
tunatafsiriwa vipi?
siyo kifaa wala nini.............. wana matatizo yao tu.
Ntakuja kukujibu kwa nyie mnaokataa............
 
dah pole saana
watatu woote wanajisifia kula?
basi we ni kifaa aisee...lol

na sisi ambao hukataa hata kama ni kwli umekula mzigo
tunatafsiriwa vipi?
Nyie mnaokataa kuna haya....................
1. unaona huyo mdada siyo hadhi yako, ni kama ulikosea kuwa naye, kwa hiyo unaona noma kusema ukweli.
2. una familia ambayo unaijali sana na unajua hayo mambo yakifika kwa familia hutajisikia vizuri.
....................
wengine wataendelea
 
Back
Top Bottom