Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanaume anapokuzushia kutembea na wewe kwa sababu ya uzuri wako,kutoelewana,kutaka kuonekana kijogoo
na jamii ikapotoka kuhusu wewe, ni nini utakachofanya dhidi ya mwanaume huyo?
kumbe kutangaza umemtafuna fulani akisikia huo uzushi ndio anajileta
Nikifanya chochote dhidi yake nitakua na confirm tu
Bora nikae nae mbali na niendelee na maisha kama kawa
wale wanao penda kufatilia maisha ya watu wataona na kuelewa
kwamba mtu kama mimi singeweza kumpenda mtu kama yeye.
si anakufuata kutaka kujua kulikoni.
Kama mko ofisi moja, unakataa kumuona muda wa kazi
unapanga mkutane nje ya ofisi
unampeleka sehemu nzuuri, tulivu.
Una-play victim, huondoi macho yako kato kati ya mboni zake.
Unakuwa calm and collected, na hubwabwaji, unamwacha anafoka hadi povu liishe, ndo unaanza kuongea.
Akifika tu, unamcomplement, refusha kikao hadi kigiza giza.
Lazima akitoka hapo, magoti yamejaa maji.
Wewe mtoto temea mate chini...kha!.Napotezea na life goes on. Maana kuna baadhi ya wanaume wanajua ku*o**ea midomo kweli kweli. Wanaona fahari!!
kwa hiyo kuwa salama ni kumpuuza na kukaa nae mbali kama wengi wanavyoshauri
haya umewafumbua macho mashosti,maana watu wanapenda outing
Unajifanya hujaskia hizo rumors. You just become over polite with him,Mnaishi mtaa mmoja,au mnafanya kazi taasisi moja na idara zenu zinaingiliana mara kwa mara
au mpo kozi moja chuoni
kwa kuwa mnakutana mara kadhaa,je utam treat normal?
hayo mambo yameshanitokea kwa wakaka 3 hivi............
hakuna haja ya kushindana naye.......................
huwa nawafwata then nawaambia ukweli tunaujua mimi na yeye, kwa hiyo haisaidii kusema uongo kwa watu........
maisha yanaendelea
siyo kifaa wala nini.............. wana matatizo yao tu.dah pole saana
watatu woote wanajisifia kula?
basi we ni kifaa aisee...lol
na sisi ambao hukataa hata kama ni kwli umekula mzigo
tunatafsiriwa vipi?
siyo kifaa wala nini.............. wana matatizo yao tu.
Ntakuja kukujibu kwa nyie mnaokataa............
Nyie mnaokataa kuna haya....................dah pole saana
watatu woote wanajisifia kula?
basi we ni kifaa aisee...lol
na sisi ambao hukataa hata kama ni kwli umekula mzigo
tunatafsiriwa vipi?