Kwa wadada wanaomiliki magari

Kwa wadada wanaomiliki magari

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,733
Nimeishashuhudia hii hali ya kinadada wanapodrive unakuta wanajiachia paja zao wazi mara kibao tu,hapa nimepata lifti kwenye Gari ya jirani yangu tunaelekea Posta.Kajiachia dah, hivi nikawaida yenu au.
 
Nina wasiwasi kama uliweza kutizama gari linakoelekea.

Pia nina wasiwasi kama ulijua umefika ulipokuwa unakwenda au ulipitilizwa!
 
Inatokana na styl yao ya ukaaji... hua hawaegemei kiti.. wanabinua mgongo hapo automatic mapaja yatatanuka tu... wakivaaa suruali huwezi kugundua kama wametanua
 
umewezaje kuangalia mapaja huku ukajua umefika ulipokua ukielekea
 
umewezaje kuangalia mapaja huku ukajua umefika ulipokua ukielekea

Ndio leo nimeelewa kwa nn yule mrembo anaenipa lift hunifungulia mlango wa nyuma na mwanzo wa sfr mpk mwisho tupo Wawili tu!
 
Nimeishashuhudia hii hali ya kinadada wanapodrive unakuta wanajiachia paja zao wazi mara kibao tu,hapa nimepata lifti kwenye Gari ya jirani yangu tunaelekea Posta.Kajiachia dah, hivi nikawaida yenu au.

wanaume wengine sijui mpewe nini.... yani unaachiwa paja all the way to posta hujajua anachotaka!!!! hizi bahati zinakosa pa kwenda
#MorningGroly ...
 
si yake..... kwan yuko kweny daladala mpaka umseme hvyo, na ww nunua yako u drive na boxer... we umepewa lift bado unajishaua......
 
Back
Top Bottom