Kwa wadada wanaomiliki magari

Kwa wadada wanaomiliki magari

Wewe ulitaka akae amebana mapaja wakati anaendesha gari,we vipi wewe????
 
Ahsante,leo baiskeli yangu ilipata mafua sababu ya mvua,itabidi nitafute nyingine faster.
Kweli jibane bane bwana...mwenzio juzi juzi tu hapa nimenunua phoenix mpyaaaaaaaaa...gharama yako ni taulo kwa ajili ya kufutia majasho si unajua ile mashine injini ni kiunpo chako......safari za morogoro sijui DODOMA na TANGA huwa haziniumizi kichwa.......
 
Sasa wewe umefuata lifti au upaja.....

Uliyoyakuta garini yaache garini

Badala ya kuangalia upaja kuwa busy na simu yako tehtehteh


Nimeishashuhudia hii hali ya kinadada wanapodrive unakuta wanajiachia paja zao wazi mara kibao tu,hapa nimepata lifti kwenye Gari ya jirani yangu tunaelekea Posta.Kajiachia dah, hivi nikawaida yenu au.
 
Sasa wewe umefuata lifti au upaja.....

Uliyoyakuta garini yaache garini

Badala ya kuangalia upaja kuwa busy na simu yako tehtehteh

Au ulikua wewe,kama nakufananisha vile,usitutie majaribuni,sorry macho yangu yana kengeza.
 
Pamoja na kuyahusudu ila namshukukuru mungu nina la haja nyumbani najaribu kulifananisha labda record ivunjwe mwaka huu.
 
Back
Top Bottom