Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
mwanaume mzima unapewa lifti na demu
mwanaume mzima unapewa lifti na demu
umewezaje kuangalia mapaja huku ukajua umefika ulipokua ukielekea
mwanaume mzima unapewa lifti na demu
umewezaje kuangalia mapaja huku ukajua umefika ulipokua ukielekea
Yaani aanze tu kukataa...aahhahhaa wewe nikikupa lift utakataaaa
Nimeishashuhudia hii hali ya kinadada wanapodrive unakuta wanajiachia paja zao wazi mara kibao tu,hapa nimepata lifti kwenye Gari ya jirani yangu tunaelekea Posta.Kajiachia dah, hivi nikawaida yenu au.
wanaume wengine sijui mpewe nini.... yani unaachiwa paja all the way to posta hujajua anachotaka!!!! hizi bahati zinakosa pa kwenda
#MorningGroly ...
wanaume wengine sijui mpewe nini.... yani unaachiwa paja all the way to posta hujajua anachotaka!!!! hizi bahati zinakosa pa kwenda
#MorningGroly ...
Ndio leo nimeelewa kwa nn yule mrembo anaenipa lift hunifungulia mlango wa nyuma na mwanzo wa sfr mpk mwisho tupo Wawili tu!
Yaani aanze tu kukataa...
We acha tu hatareee!!afu kuna wadada wana paja nzuri.