(Kwa wadada wenye ndoa) Utii kwa waume zetu

gfsonwin mke wangu na Watoto wangu ni kitu muhimu sana katika maisha yangu hio kwangu halina matatizo nawaangalia sana familia yangu.
MziziMkavu, ubarikiwe sana kwa kuitunza famlia yako kwa dhati kabisa. Pia nakupongeza sana kwa kuipenda na kuifanya kuwa kitu cha muhimu sana kwako. Napenda sana mwanaume anayejua na kutimiza wajibu wake hasa kwa familia yake.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mtoa mada, pia FirstLady1 nashukuru sana na ubarikiwe mno kwa haya. Kipipi nakushukuru sana kwa kuniita ili na mimi nitie langu japo dogo lakin litaongeza maarifa.

Kwanza kabisa ikumbukwe kuwa ndoa ni sehem ya ibada ambayo mtu anaweza kuitimiza akiwa hapa dunian. Tena Mungu aliiweka hii ndoa kuwa kitu kitakatifu sana ambacho kwa mapenzi yake mema alifanya ndoa kuwa chombo cha kufanya kazi ya uumbaji. Nafikiri kama watu wote wangepata kujua kuwa ndoa kama ilivyo Mungu kaifanya kuwakilisha utukufu wa Mungu duniani kwa kuruhusu tendo la ndoa kutumika kuumba kama alivyoumba yeye.

Sasa kwa kuyajua hayo yampasa mwanamke kuwa mwenye upole na upendo, anayeamka asubuhi kabla hakuja pambazuka na kuanza kuzipanga kazi za nyumbani kwake. Awe ni mtu anayelisha watu wake bila kunung'unika, awe ni mtu anayewavesha watu nyumbani kwakei. awe hodari katika kazi zote za mikono na apende kumtunza mumewe kwa uaminifu na mumewe huyu ajulikane aketipo barazani na wenzie. awe ni mtu mtu ambaye moyo wa mumewe humwamini na kamwe hatakosa mapato ya mikono yake.

BABA yampasa kuwa mtu anayeipenda familia yake, awe tayari kuihudumia pasipo kuchoka, apende kuona watu wa nyumbani kwake wanafuraha na amani muda wote. Tena asiwe mlevi, wa mtu wa kuhadaiwa na mwanamke malaya, atamani sikuzote kuona mkewe na watoto wanastawi.
MziziMkavu Asprin, Nyaningabu, Mr Rocky nk mnayatimiza hayo kwa familia zenu? mko responsible juu ya wake na watoto wenu wanakula nini wana lala wapi na wanaish vipi? hizi ndizo quality za baba bora. jitahmin mtuambie kama ninyi ni akina baba bora au ni bora baba. Tena mtuletee jibu hapa.
Tena ikumbukwe upendeleo hudanganya kuwaandalia watu wa nyumbani kwake
Mi nikishapiga ulabu wangu ukaniingia sawasawa kumkichwa huwa naamini kuwa watoto wako salama na kila kitu kiko sawa.... chezeya pombe weye? Afu we gfsonwin umeolewa?
 
Last edited by a moderator:
avatar yako na ujumbe uliotutumia, mmmhhh...........!!!
lakini sawa, maana neno pia lasema, ""muwe safi kwa maneno na matendo yenu....! nao watawatambua kwa matendo (siyo maneno) yenu""
 
Mi nikishapiga ulabu wangu ukaniingia sawasawa kumkichwa huwa naamini kuwa watoto wako salama na kila kitu kiko sawa.... chezeya pombe weye? Afu we gfsonwin umeolewa?
Asprin hiyo ya kwako ni kiboko. sikukatazi kunywa ila kunywa baada ya kuhakikisha kuwa wanao wana menu nzuri home na wanakunywa wanachokitaka wao kama wewe ufanyavyo. kuhusu kuolewa nipo nimepata mchumba humu jf. jina lake naliweka kapuni.
 
Last edited by a moderator:
Asprin hiyo ya kwako ni kiboko. sikukatazi kunywa ila kunywa baada ya kuhakikisha kuwa wanao wana menu nzuri home na wanakunywa wanachokitaka wao kama wewe ufanyavyo. kuhusu kuolewa nipo nimepata mchumba humu jf. jina lake naliweka kapuni.
Hahahaha... vibinti vyote viko boarding huko vinalelewa na walimu wao. Mi na mama yao ndo kwanza bado tuko honeymoon..... Sasa huyo mchumba wako wa hapa JF akikuletea za kuleta usisahau kuniPM. Mie imani yangu, mila zetu na matambiko yote yananiruhusu kumiliki wake wawili.... umenielewa gfsonwin? Haya nigongee LIKE kama uthibitisho wa kunikubalia.
 
Kha! yaani kwa kusema kuwa wanao wako boading naogopa lakin je ni primary school kids au secondary school? manake kama ni wadad halafu wa primary tegemea warudipo nyumbani wanakuja na penis artificial yaani unawatuma kuanza kujisaga mapema asubuhi. kweli shule za bweni zina mambo mengi sana mabay ya kitabia hasa kwa wanafunz wa primary. na kumbuka umri huu mtoto anaish kwa kumuona rafiki yake anafanya nini ndipo afanye, sasa wewe kula raha na bibi Asprin ukafikir watoto wanasoma. tena wakague hata bikira hawatakuwa nazo chezeya boarding school wewe!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni moja tu!
Bible inasema 'wanaume wapendeni wake zenu(kwa akili), wanawake watiini waume zenu.
Yaani mie nikijisikia kupendwa, natii na kutumikia mwanaume hadi atakapoacha kunionyesha upendo nabaki kujishangaa hivi zile nguvu za kumtumikia na kumtii zilikuwa zinatoka wapi!!!
Till a tempting partner intervenes do us part!
 
DAh...!!
Hakuna exception hapo?? Maana yake sasa hivi hao watu ni threat kwelikweli!! lol
 
Kha! yaani kwa kusema kuwa wanao wako boading naogopa lakin je ni primary school kids au secondary school? manake kama ni wadad halafu wa primary tegemea warudipo nyumbani wanakuja na penis artificial yaani unawatuma kuanza kujisaga mapema asubuhi. kweli shule za bweni zina mambo mengi sana mabay ya kitabia hasa kwa wanafunz wa primary. na kumbuka umri huu mtoto anaish kwa kumuona rafiki yake anafanya nini ndipo afanye, sasa wewe kula raha na bibi Asprin ukafikir watoto wanasoma. tena wakague hata bikira hawatakuwa nazo chezeya boarding school wewe!
Hivi we gfsonwin, na umri wangu huu bado niwe na tubinti twa praimare? Unataka haya mabinti yaliyokwisha vunja ungo yasome day school kila siku niwe napata "shkang baba Matesha" na vidume nisivyovijua?..........khaa! Na FYI ni bora wawe anajisongomezea hiyo midoli kuliko kusongomezewa mijengo ya makonda wa daladala... manina wallah!!
 
Last edited by a moderator:
Asante SANA kwa kuniita dear Kipipi. Binafsi naamini kua Bibilia ina maneno mengi yenye busara ila sisi binadamu ndio tunachagua na kuyapa tafsiri inayo turidhisha hadi maneno yaonekane hayana maana (sometimes). Kila tunapo soma mistari ya Mungu, Tumuombe atupe mwangaza wa kuyaelewa haya maneno kama alivo taka tuyaelewe.

Mwanzo wa kila kitu ni upendo. Ikiwa ndoa ina upendo ndani yake hayo yote yanatiririka tu yenyewe, huhitaji manual kukukumbusha. Ila ndoa ikikosa upendo, mume akiwa mnyanyasaji au mke akiwa mnafiki (anae-fake upendo kwa mume wake) hata mke akifanya hayo yote ni bure sababu hayatokei moyoni mwake, ni unafiki mtupu.
RussianRoulette dear....
Nakubaliana na wewe hapo in blue....as far as upendo waambatana na vitu vingi ikiwemo imani na uvumilivu. Ila ni ngumu sana kuyatimiza hayo if there is nothing in response!

Nashukuru kwa maneno yako ndugu....
 
Last edited by a moderator:
Hivi we gfsonwin, na umri wangu huu bado niwe na tubinti twa praimare? Unataka haya mabinti yaliyokwisha vunja ungo yasome day school kila siku niwe napata "shkang baba Matesha" na vidume nisivyovijua?..........khaa! Na FYI ni bora wawe anajisongomezea hiyo midoli kuliko kusongomezewa mijengo ya makonda wa daladala... manina wallah!!

Na huyo ndiye babu Asprin..... mwanachama hai wa fyatanga!!! LOL
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mtoa mada, pia FirstLady1 nashukuru sana na ubarikiwe mno kwa haya. Kipipi nakushukuru sana kwa kuniita ili na mimi nitie langu japo dogo lakin litaongeza maarifa.

Kwanza kabisa ikumbukwe kuwa ndoa ni sehem ya ibada ambayo mtu anaweza kuitimiza akiwa hapa dunian. Tena Mungu aliiweka hii ndoa kuwa kitu kitakatifu sana ambacho kwa mapenzi yake mema alifanya ndoa kuwa chombo cha kufanya kazi ya uumbaji. Nafikiri kama watu wote wangepata kujua kuwa ndoa kama ilivyo Mungu kaifanya kuwakilisha utukufu wa Mungu duniani kwa kuruhusu tendo la ndoa kutumika kuumba kama alivyoumba yeye.

Sasa kwa kuyajua hayo yampasa mwanamke kuwa mwenye upole na upendo, anayeamka asubuhi kabla hakuja pambazuka na kuanza kuzipanga kazi za nyumbani kwake. Awe ni mtu anayelisha watu wake bila kunung'unika, awe ni mtu anayewavesha watu nyumbani kwakei. awe hodari katika kazi zote za mikono na apende kumtunza mumewe kwa uaminifu na mumewe huyu ajulikane aketipo barazani na wenzie. awe ni mtu mtu ambaye moyo wa mumewe humwamini na kamwe hatakosa mapato ya mikono yake.

BABA yampasa kuwa mtu anayeipenda familia yake, awe tayari kuihudumia pasipo kuchoka, apende kuona watu wa nyumbani kwake wanafuraha na amani muda wote. Tena asiwe mlevi, wa mtu wa kuhadaiwa na mwanamke malaya, atamani sikuzote kuona mkewe na watoto wanastawi.
MziziMkavu Asprin, Nyaningabu, Mr Rocky nk mnayatimiza hayo kwa familia zenu? mko responsible juu ya wake na watoto wenu wanakula nini wana lala wapi na wanaish vipi? hizi ndizo quality za baba bora. jitahmin mtuambie kama ninyi ni akina baba bora au ni bora baba. Tena mtuletee jibu hapa.
Tena ikumbukwe upendeleo hudanganya kuwaandalia watu wa nyumbani kwake

gfsonwin asante sana sana kw aujumbe wako
Kwa upande wangu familia yangu ni kila kitu kwangu
Napambana kwa ajili yao na nawapenda na kuwathamini mke na watoto wangu
Ndio jukumu kubwa nililo nalo kuhakikisha kuwa wanapata mahitaji yao na wanafurahia uwepo wangu kama baba wa familia na mke anafurahia kuwa nami pia
Asante sana
 
Sasa kwa kuyajua hayo yampasa mwanamke kuwa mwenye upole na upendo, anayeamka asubuhi kabla hakuja pambazuka na kuanza kuzipanga kazi za nyumbani kwake. Awe ni mtu anayelisha watu wake bila kunung'unika, awe ni mtu anayewavesha watu nyumbani kwakei. awe hodari katika kazi zote za mikono na apende kumtunza mumewe kwa uaminifu na mumewe huyu ajulikane aketipo barazani na wenzie. awe ni mtu mtu ambaye moyo wa mumewe humwamini na kamwe hatakosa mapato ya mikono yake.

BABA yampasa kuwa mtu anayeipenda familia yake, awe tayari kuihudumia pasipo kuchoka, apende kuona watu wa nyumbani kwake wanafuraha na amani muda wote. Tena asiwe mlevi, wa mtu wa kuhadaiwa na mwanamke malaya, atamani sikuzote kuona mkewe na watoto wanastawi.
MziziMkavu Asprin, Nyaningabu, Mr Rocky nk mnayatimiza hayo kwa familia zenu? mko responsible juu ya wake na watoto wenu wanakula nini wana lala wapi na wanaish vipi? hizi ndizo quality za baba bora. jitahmin mtuambie kama ninyi ni akina baba bora au ni bora baba. Tena mtuletee jibu hapa.
Tena ikumbukwe upendeleo hudanganya kuwaandalia watu wa nyumbani kwake

Tena huyo baba anapaswa kunywa maji ya birika lake mwenyewe kwa maana chemchemi yake imebarikiwa na anapaswa kumfurahia mke wa ujana wake...haijalishi kwa sasa mna umri gani kwenye ndoa yenu ila cha msingi mmetoka mbali na wengi ujana mlianza pamoja.
 
DAh...!!
Hakuna exception hapo?? Maana yake sasa hivi hao watu ni threat kwelikweli!! lol

jamani nimeyasahau kidogo maazimio ya beijing, yeyote anayeyakumbuka??
 
Back
Top Bottom