Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

endelea kijidanganya...tutapigwa BAN la mwaka na JF itaendelea tu....!!! mi niko lonely na broke,hapa ndipo panaponipa nafuu ya maisha...usiniponze kabisa Kloro....please.....!!!

Tuanzishe biashara dearest...siku hizi kuishiwa kumegeuka ugonjwa wa kuambukiza!
 
Lizzy tupange basi tufanye kweli.....!!! am serious,utani mi na wewe ni usiku tu...
 
Kwahiyo tatizo ni vitunguu tu?Basi njoo na hivyo vingine achana na vitunguu!
unaonaje baba mchungaji akaprovide hivyo halaf mimi nikapata muda wa ziada wa kuprovide ile service adimu? unajua maisha ya mjini ni ujanja lizzy. think! lizzy think!
 
mashalobaro kwa unyonyaji jamani....baba mchungaji atunze wewe uje tu ufaidi kwa jasho la mwanaume mwenzio? ndo maana mnapigwa vita!
 
unaonaje baba mchungaji akaprovide hivyo halaf mimi nikapata muda wa ziada wa kuprovide ile service adimu? unajua maisha ya mjini ni ujanja lizzy. think! lizzy think!

Kweli we ni sharobaro haswa...anipe nguvu mwingine alafu wakuzitumia uwe wewe!
 
ngoja nije basi Unga limited mwezi huu mwishoni tupange.....
Karibu sana dearest...ila unijulishe mapema nikutumie escort usije ukakabwa!BTW V anakusalimia...anasema asante kwa kumuulizia..anakumiss!
 
yaani angejua ninavyom miss angekuja hata siku moja tu atusalimu arudi....mwambie namtakia kheri na mafanikio.....ninam miss sana!!

nitakuambia mapema.....!!!!
 
Ntamwambia dearest!Anasema anaogopa kuchungulia asije akanogewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…