Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 759
Leo nimevaa njano kuwakilisha Yanga...baadae dearest!
Lizzy hule mpango wako wa jina vipi? jaribu Arafat, jina zuri sana hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimevaa njano kuwakilisha Yanga...baadae dearest!
kweli wapo...ni suala la kuwa makini tu kidogo na kuchukua muda coz wapo wanaotimiza ahadi wakishapata tunda ndo safari.....
We umewai kudanganywa? sijui kama wapo wanaume wanaodhamiria kutoka moyoni kuwa ngoja nikamdanganye Ms. Fulani!! Ahaa samani sana Michelle kumbe ni kwa wadada.
Ahsante kwa ushauri dear.
Huwa tunakurupukia mapenzi, yaani vitu vidogo tu tushadanganyika.
Umewasahau wanaume ving'ang'anizi. Yaani hao atakutongoza hata karne nzima ilimradi akupate.
Ninae mmoja wa hivyo tangu mwaka 2004.... Kha!!
hawa my dear hauko mwenyewe.....nina kimeo kimoja....tangu niko form 3,kaoa na ana watoto lakini bado tu anataka kuonja....kila mara ananiapia...hata kama tukiwa wazee ipo siku tu tutajuwa pamoja......its insane.....siwapendi mimi ving'ang'anizi......
Husninyo wewe ni he or she? wakati mwingine nikisoma comment zako naona unajibu kama mwanaume wakati mwingine kama mwanamke. samahani nauliza tu
shida ni kwamba usanii kwenye mapenzi umekuwa sana.
na wasanii wamepenzi kila siku wanaupgrade mbinu zao
hivyo siku zote wapo hatua moja mbele
utafikiri wahalifu na polisi lol
nahisi hili swali linamkera sana....ameulizwa mara nyingi sana....sijui kwanini kuna contradiction ya jinsia yake...ila kama sikosei alishasema yeye ni HE
ha ha ha! Kumbe bado kuna contradiction ya jinsia yangu. Lol!
Gaga Mimi ni she. Mmh, hii contradiction isije nikosesha mchumba bure...
ha ha ha! Kumbe bado kuna contradiction ya jinsia yangu. Lol!
Gaga Mimi ni she. Mmh, hii contradiction isije nikosesha mchumba bure...
ha ha ha ha.....we si mwanaume,huwezi wafahamu hawa.....usijali hata wakaka wameruhusiwa kutoa maoni...l.o.l
kumbe unatafuta mume my dear....unaonaje tuanzsihe li-thread letu.....ha ha ha ha.....pole kwa hiyo contradiction!!!
mchumba huwezi kosa labda ukatae mwenyewe tu lol
ha ha ha! Kumbe bado kuna contradiction ya jinsia yangu. Lol!
Gaga Mimi ni she. Mmh, hii contradiction isije nikosesha mchumba bure...
napenda tu kuwachanganya ila nitaacha.hata huko nyuma amejichanganya mara nyingi ndio maana nauliza.
Thanx mydia, sasa hapa nimekwelewa si umeona na michelle alikuwa hajui ww wa jinsia gani japo yupo muda mrefu?
ha ha ha! najua unataka tena ile kazi ya u hr...
Ngoja nimwambie lizzy anipe ujasiri wa kutangaza nia.
Mi sijawai kudanganya tokea nizaliwe kwahiyo sijui inakuwaje umgangaye mtoto wa mtu! Ila wakati nipo shule pia nilikuwa nashangaa sana wasichana upenda sana wanaume wanaowadanganya, wanatembea nao nakuwaacha au kuwachanganya, nilikuwa nastaajabu sana, sisi ambao hatukuwa tunapenda mambo ya kudangaya wanawake tulikuwa hatuwapati kabisa; mpaka tulitunga usemi mmoja kuwa mwanamke mwalimu wake ni kipofu na husipomdanganya hakuelewi!! ebu jaribu nipa ufafanunuzi hapa maana hii nimeona mwenyewe wakati tupo wa ujana wangu.