Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

atupe tokeo. Tusije ndugu tukabambana sehemu moja. Ha ha ha!

kwe,manake wanaume wenyewe hawa....twaweza gombana bure....kuepusha shari tuwekane tu wazi......!!!!!!!!!!!!
 
bora umuulize....nasubiri aseme....hasemi....dearest em tuweke wazi wenzio??

Jamani dearest kwani hamjui???
Hus hutakiwi kabisa kumsogelea Sipiyu wala baba mchungaji!!!!!:hand:
 
Jamani dearest kwani hamjui???
Hus hutakiwi kabisa kumsogelea Sipiyu wala baba mchungaji!!!!!:hand:

hongera my dear....ngoja nikaanzishe thread kule na mimi.....!!!!!!! hadi kieleweke....l.o.l
 
sasa CPU + baba mchungaji utajigawaje dearest??? just curious?
 
Hahhahahah dearest mbona unamchunguza kuku???:A S 13:We nipe tu hongera!!!!
Kila mmoja kwa muda wake!!!!

Hongera dearest Lizzy......all the best...kuwe muna nsha.....kwiitye???
 
utamuanza wewe....wewe si ndo mkubwa? muanze tu....

Nyieee!!Hivi hamjui maana ya off limit ehhhh?????Nawapenda sana ila hapa tutakosana!!!
OHhhh kabla sijasahau....hivi mtakubali kua second choice????Lolzzz
 
aiseee...sasa mwanaume akikuacha we uatamfanya nini?tukifuata hiyo ya unapotendwa na we tenda....!!! ukomoe wengine au?

Wa kwanza anakuacha, hewala tutasema ulikuwa huna uzoefu, wa pili akakuacha tutasema hewala kosa si kosa, kosa kurudia kosa, huyo wa tatu mmh, tutasema hujazinduka usingizi. Lakini wa nne pia ndugu yangu akuache! hapana not fair, hakikisha unamuacha kabla hajakuacha, ukiona mawingu mazito meusi jua mvua i njiani, tafuta muamvuli mapema usijeyeshewa.

Jifunze kuacha Michelle.
 
Nyieee!!Hivi hamjui maana ya off limit ehhhh?????Nawapenda sana ila hapa tutakosana!!!
OHhhh kabla sijasahau....hivi mtakubali kua second choice????Lolzzz

ngoja nimuulize Husninyo.....mi sijui....:hand:
 
Back
Top Bottom