Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
- Thread starter
- #241
Wa kwanza anakuacha, hewala tutasema ulikuwa huna uzoefu, wa pili akakuacha tutasema hewala kosa si kosa, kosa kurudia kosa, huyo wa tatu mmh, tutasema hujazinduka usingizi. Lakini wa nne pia ndugu yangu akuache! hapana not fair, hakikisha unamuacha kabla hajakuacha, ukiona mawingu mazito meusi jua mvua i njiani, tafuta muamvuli mapema usijeyeshewa.
Jifunze kuacha Michelle.
kwa kweli......bora umekuwa straightforward Freema....manake napotezaga muda mwingi sana kulazimisha mambo....!!!!!!!!!!